Zephiline F Ezekiel
Member
- Nov 10, 2015
- 25
- 42
KUNA PAGE HAPA SINA KAZI NAYO NIPENI HELA MPIGE PESA ZA ZUCK
Kama unataka ukurasa ambao una watu wengi tayari basi huu hapa nipe hela umalize kwa kuweka video 2 pekee na ukidhi masharti
Haina kipengele chochote sababu mimi nina kurasa zingine hivyo kuliko kubaki na kurasa nyingi hii nimeona niuze mtu apigie pesa
Chukua mawasiliano hapo tufanye biashara