Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
pamoja Mkuu.Shukrani sana!
Kwa wale wote mnaopenda kupata habari mbali mbali za Rais wetu mtarajiwa mnaweza kuzipata kupitia Facebook Page yake,Dr. Wilbrod Slaa | Facebook pia kutakuwa na hotuba zake mbali mbali na ratiba za kampeni yake mikoani....;Karibuni tumsafishie rais wetu mtarajiwa njia ya kuelekea Ikulu.
Nini tofauti ya hii na HII
kuna tofauti naona hata moja haija jina sahihi; ila hiyo iliyoanzishwa leo ndio naambiwa ndio semi-official
"semi-official" ndio nini? Na fully official ndio itakuwaje, itaendeshwa na Ikulu... leo ndio naambiwa ndio semi-official
"semi-official" ndio nini? Na fully official ndio itakuwaje, itaendeshwa na Ikulu
"semi-official" ndio nini? Na fully official ndio itakuwaje, itaendeshwa na Ikulu
kwani "semi" manake nini? Ila kwa vile umeonesha hujui maana ya semi-official Merriam-Webster inatafsiri hivi:
Main Entry: semi·of·fi·cial
Pronunciation: \-ə-ˈfi-shəl\
Function: adjective
Date: 1806
: having some official authority or standing
Next time ukiona neno linakusumbua jaribu kutafuta kamusi; huwa zina msaada sana.
Hawa wazembe kweli...yaani hiyo "semi-official" inaanzishwa leo 08-20-10? Muda wote huu walikuwa wapi?
Kwa wale wote mnaopenda kupata habari mbali mbali za Rais wetu mtarajiwa mnaweza kuzipata kupitia Facebook Page yake,Dr. Wilbrod Slaa | Facebook pia kutakuwa na hotuba zake mbali mbali na ratiba za kampeni yake mikoani....;Karibuni tumsafishie rais wetu mtarajiwa njia ya kuelekea Ikulu.
umekosea mkuu. Si mchungaji, mchungaji ni wa cheo cha chini yeye ni padri. Mimi hilo si tatizo, ila kilichojificha kwa hawa watu. slaa mwenyewe alisema hagombei ila jiulize what happened. Some thing wrong behind, do not give up. Purely conflict of interest.Nchi isiyo na dini itaendeshwaje na mchungaji ?
conflict of interest!!!!