Elections 2010 Facebook Page ya Rais mtarajiwa Dr.Slaa

Elections 2010 Facebook Page ya Rais mtarajiwa Dr.Slaa

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2010
Posts
2,415
Reaction score
398
Kwa wale wote mnaopenda kupata habari mbali mbali za Rais wetu mtarajiwa mnaweza kuzipata kupitia Facebook Page yake,Dr. Wilbrod Slaa | Facebook pia kutakuwa na hotuba zake mbali mbali na ratiba za kampeni yake mikoani....;Karibuni tumsafishie rais wetu mtarajiwa njia ya kuelekea Ikulu.
 
"semi-official" ndio nini? Na fully official ndio itakuwaje, itaendeshwa na Ikulu

kwani "semi" manake nini? Ila kwa vile umeonesha hujui maana ya semi-official Merriam-Webster inatafsiri hivi:

Main Entry: semi·of·fi·cial
Pronunciation: \-ə-ˈfi-shəl\
Function: adjective
Date: 1806
: having some official authority or standing

Next time ukiona neno linakusumbua jaribu kutafuta kamusi; huwa zina msaada sana.
 
Habari zenu wakuu.
 
Hawa wazembe kweli...yaani hiyo "semi-official" inaanzishwa leo 08-20-10? Muda wote huu walikuwa wapi?

haijalishi kama amejiunga jana ua juzi kwa ajili haina impact TZ kwa sasa

watu wachache sana wana internet TZ, na wengi wenye internet hawajajiandikisha kupiga kura.....
na hao waliojiandikisha kupiga kura ni wachache sana wana interest/kujua facebook
kwa maana nyingine

wapiga kura wengi hawana internet
hali halisi iko tofauti sana
kutumia internet kwa saa ni kati ya 1000 - 2000 , how many Tanzanians can afford a dollar a day kwa ajili ya internet...
 
Kujua politics za Tanzania, you have to be on the battle field, unless you will have lots of wishful thinking.
 
Kwa wale wote mnaopenda kupata habari mbali mbali za Rais wetu mtarajiwa mnaweza kuzipata kupitia Facebook Page yake,Dr. Wilbrod Slaa | Facebook pia kutakuwa na hotuba zake mbali mbali na ratiba za kampeni yake mikoani....;Karibuni tumsafishie rais wetu mtarajiwa njia ya kuelekea Ikulu.

kwa nini hizi page mbili za face book msizifanye zikawa moja.
ile ya zamani ambayo ina watu wengi mu edit vizuri ndio iwe page yake na hii nyingine muwa direct watu kwenye ile ya zamani halafu muifunge
 
Nchi isiyo na dini itaendeshwaje na mchungaji ?

conflict of interest!!!!
 
Nchi isiyo na dini itaendeshwaje na mchungaji ?

conflict of interest!!!!
umekosea mkuu. Si mchungaji, mchungaji ni wa cheo cha chini yeye ni padri. Mimi hilo si tatizo, ila kilichojificha kwa hawa watu. slaa mwenyewe alisema hagombei ila jiulize what happened. Some thing wrong behind, do not give up. Purely conflict of interest.
 
Back
Top Bottom