Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Facebook wamesema posting zangu zinatazamwa sana.
To give you an example, video post moja yangu ilipata 300K+ views. I think it was 365K.
Kwa hiyo nimeshangaa kuiona hili posting sasa hivi,post ya Jamii Forums October 1 ,2025, posting ya Ezoo ambayo inasema nina matatizo ya akili.
Kwamba Chadema wanapaswa kuona aibu kwa kumlaghai mtu mwenye matatizo ya akili kupanda jukwaa.
Kwanza niseme, Chadema hawakunilaghai,mimi nilikwenda kuwatafuta Chadema.
Halafu niseme mimi siyo Chadema.
Pia mimi siyo CCM( ingawa ninayo kadi ya CCM).
My cardinal concern ni good government,no,not good government,nataka strong government,kama Ile ya Magufuli ambayo itawachangamsha watu corrupt.
Ambayo itawashambulia watu corrupt.
Siyo serikali itakayomshambulia mwananchi anayeuliza" Yule diwani,Rolls Royce kaipata vipi?"
Halafu huyu aliniita " mental" tarehe moja,halafu tarehe kumi nikapata kashkash.
Huyu mtu maybe he was preparing the ground for that?
Halafu niseme hayatatokea maridhiano ya kitaifa just because people have got good intentions.
Nchimbi ameongea kuhusu maridhiano Jana nasikia it was a calamity. Nasikia imesababisha taharuki serikalini .
Nasikia,isipokuwa watu huko ni very secretive.
Wakigombana hawamwambii mtu.
Maridhiano hayawezi kuletwa just by good intentions. People must know what needs to be done to bring peace.
Lakini kama utafanya maridhiano utawaleta wadau wote,by which you mean,wawakilishi wa dereva wa bajaji na boda boda, wawakilishi wa mama ntilie, wawakilishi wa dada poa, sijui hayo maridhiano yatapatikana vipi.