Kuchwizzy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 1,193
- 2,599
Wanasema "Being first is the same thing as being wrong"Era ya facebook imeisha na kaimaliza mark mwenyewe. Kuipa kipaumbele metaverse haikua sahihi kabisa.
Mitandao kama TikTok imekua kwa kasi sana kwa kuboresha algo zao zinazoload newsfeed. Mark angeshikilia humohumo akawafanyia tiktok alichowafanyia Snap chat miaka ya nyuma. Sijui ni nini tu kinafanya executives wa Meta kutoona hilo.
Mambo ya metaverse ni 10year ahead, na investors wengi hawataki kusikia hlo ndo maana wana-dump tu facebook stock. Yaan Value ya Meta kweli ndo imekuja kushindwa hata kuipiga SP500?.
Metaverse is a very smart idea lkn sheria ya market ni kwamba "Markets are cruel and unforgiving to irrelevant products"
Ni kama mambo ya marehemu Engineer Dean Kamen alipodhan Segway zitareplace baiskeli na akawekeza mabillion kuzitengeneza lkn ikaishia kuwa loss tu. Kwa fans wa Meta inauma sana, tiktok ndo inazidi kugrow hvo huku insta na fb zikishuka.
Mark alitaka kuwa wa kwanza
Wazo zima la Metaverse kwangu ni kama U communism
Mzuri sana kwenye karatasi, lakini kwenye utendaji kazi ni disaster
Pia Metaverse ina bad reputation kwa watu wengi, angalia Movie kama Matrix
Neno lenyewe Metaverse limechukuliwa kwenye kitabu kinacho "Dis" Metaverse yenyewe
Kinacho nishangaza ni Mark kuweka hadhina yake yote kwenye hii idea, alikua karibu kuwa Mtu tajiri zaidi Duniani miaka 3 au 2 tu iliyopita, last time nimetazama sikumuona hata top 15