Facebook yaruhusu maneno ya chuki dhidi ya Urusi

Facebook yaruhusu maneno ya chuki dhidi ya Urusi

Baada ya hii vita nchi nyingi zitapitia upya uhusiano wao na haya makampuni makubwa ya social media na mengineyo.

Nimeelewa kwa nini china wana mtandao unaitwa wechart , kumbe kutumia mtandao ya nje ni utumwa na wamejipambanua mapema kwamba ipo kwa masilahi ya nchi zao
sasa kinachoenda kutokea huko mbele kila nchi watakuwa na platform zao ni ukweli basi usiopingika kwa huwa wanatoa siri za wateja wao kwa serikali zao
 
Hawa jamaa mbona hawana demo- krasia
Democracy au upumbavu tu walio nao?

Wamepiga kura kulaani Russia kuvamia Ukraine kwa vita nakati USA kavamia Vietnam, Syria, Iraq, Yemen, Afghanistan na Libya hata hawakupiga kura, hiyo siyo double standard decision?

Wanakwambia kila nchi ni huru na hapo hapo wanaziwekea vikwazo nchi zinazozalisha mabomu ya nyuklia nakati hao wenyewe USA na nchi za EU zinazalisha tena kwa wingi tu?

Mikataba kandamizi yenye masharti magumu kwenye nchi zinazoendelea zenye rasilimali kama TZ nakati nchi zilizoendelea kama China wanakubali sera ya win - win economic situation?

USA na EU ni mashetani wanaokuchekea usoni ila rohoni hawana hata chembe ya democracy zaidi ya ujanja ujanja tu wa kuvamia nchi zenye rasilimali kama DRC zikiwagombanisha wananchi na viongozi, kuchota rasilimali na kuuzia silaha.

Kiujumla leo hii TZ tuko hapa kwa uchumi duni sababu ya hao hao mabeberu.
 
Chombo chao cha vita vya habari na propaganda
... ila ni unafiki usio na aibu - ubabe kabisa. Juzi tu kwao waliweka kesi kumkataza kuruhusu maneno chafu kwao.
Ndiyomaana wanaosikilizaga na kutizama BBC, CNN, ALJAZEERA, FRANCE 24 HRS huwa nawadharau mara trilioni sababu hawatambui unafki walionao USA na nchi za EU ni wa kiwango cha SGR.
 
Ndiyomaana wanaosikilizaga na kutizama BBC, CNN, ALJAZEERA, FRANCE 24 HRS huwa nawadharau mara trilioni sababu hawatambui unafki walionao USA na nchi za EU ni wa kiwango cha SGR.
Jomba wanaotizama hivyo vyombo ni watu wazima na wanajua mapungufu ya hivyo vyombo pamoja na unafiki wa nchi za magharibi, ni basi tu wameamua kufumbia macho unafiki wa hizo nchi.
 
Vikwazo havifanyi kazi wameamua kutafuta huruma mitandaoni,
Sasa Mrusi hata umtukane anajua wapi hicho kiswahili, labda wasiompenda mrusi wote wajifunze kirusi, nina hakika wazungu wengi tu hawajui kirusi
Tatizo Putin siyo warusi.
 
Ndiyomaana wanaosikilizaga na kutizama BBC, CNN, ALJAZEERA, FRANCE 24 HRS huwa nawadharau mara trilioni sababu hawatambui unafki walionao USA na nchi za EU ni wa kiwango cha SGR.
umeona walivopiga vita RT - inaonyesha upande mwingine... CTGN wamemgwaya ila kwangu mm kapoa - mchina anaangalia big picture
 
Hi Dunia unafiki unazidi, kungekuwa kuna Sayari nyingine habitable ningeshahama kitambo...
 
Back
Top Bottom