Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,557
- 1,787
Habari GT.
Najua wengi wetu hapa tuna tumia Facebook "either direct or indirect"
Kwa kipindi kifupi toka Facebook aongeze kipengele cha VIDEO kimeifanya kuwa sio sehemu salama kabisa kimaadili.
Kwa nini?
Kama umegundua sahivi ukijaribu kufungua video mfano labda ni sehemu ya taarifa ya Habari ya Azam au ITV n.k au video yeyote ile kuna zile "others videos" zinakuja kwa chini, ukijaribu ku preview asilimia kubwa ni videos zisizo na maadali yaani kwa ufupi video nyingi zilizopo Facebook hazina maadili, ni wanawake wakicheza uchi, mara makalio makubwa, mara wanyama wakifanya mapenzi, yaani shida tupu, hata ukiwa kwenye gari hudhubutu ku tizama video ya heshima FB manake zile zinazo fuata ni aibu.
Hebu jiulize umekuta videos ya katuni nzuri ya dakika 2 au 3 ukamuachia mtoto angalie ukaenda chooni, ukarudi ukakuta imeisha imeingia nyingine kumbe ya uchafu na mtoto anatizama!!! Aseeeee.. [emoji24]