Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Wataalamu na wachambuzi wa medani wanakubaliana kuwa victim wa kwanza ndani ya uwanja wa vita ni ukweli kwa kulitambua hilo ndio maana majeshi yote duniani yanakula kiapo na kutakiwa kutii order na si vinginevyo. Ukiwa askari unaweza kutumwa kwenye operation ya kijinga na ukapoteza maisha kizembe tu. Ukiacha beberu mkuu marekani jeshi linalopigiwa upatu na watu wengi hususani waswahili kuwa na ubora ni jeshi la urusi. Ni ukweli kuwa urusi wanafanya tafiti nyingi za kutengeneza silaha ya kushambulia na kujilinda but when come kwenye uwanja wa medani wanatuangusha sana. Kufuatia uvamizi wa jeshi la urusi Ukraine weledi wa jeshi lake umeonekana wazi kuwa ni mdogo kwa sababu zifuatazo:
1, taarifa za mpango wake wa uvamizi kuvuja na kunaswa mikononi mwa mabeberu ambao kimsingi ni maadui zake wakuu. Weledi wa medani unapaswa kulinda siri zako kama mtaji wa kumvamia adui yako kwa kushitukiza( suprise attack). Taarifa zako zikivuja unaweza kupata casaulities wengi kwani adui zako watajipanga na kujibu mapigo.
2, kuzidiwa propaganda na mabeberu hivyo operation yake ya kijeshi kuonekana ni uhalifu hata kaka alikuwa na malengo ya msingi.
3, makombora yake kupiga miundombinu ya kiraia ikiwemo hospitari, shule na makanisa. Kitendo hiki kinashusha morale ya askari walioko mstari wa mbele kuona raia wasio na hatia wanapoteza maisha.
4, kushindwa kupata " air supremacy'' yaani kulitawala anga la adui yako kwa lengo la kutoa supply kwa vikosi vilivyopo mstari wa mbele. Hali hii imesababisha ndege zake kushambuliwa na vikosi vyake kama tank regiment kushindwa kusonga mbele kwenye baadhi ya maeneo.
5, kudharau uwezo wa jeshi la ukraine hivyo kuingiza vikosi baadhi ya miji kwa misululu bila tahadhali kilichotokea na majanga. Baadhi ya picha zinaonesha baadhi ya askari wa wamekufa kwenye trenches na wameachwa waoze. Kitendo hiki kimepelekea kushambuliwa kwa vikosi vingi vya russia. Kuna analysist mmoja ambae Yuko front kuanesha jinshi wanakijiji walivyoangamiza platoon nzima ya russia.
6, kuchelewa kumaliza kwa operation kwa wakati, putin alinukuliwa akisema kuwa operation hiyo itachukua masaa 78 kumalizika lakini badala yake inaenda miezi miwili Sasa. Operation ikiwa ndefu unapata casualties wengi maana vita sio ngoma ya mchiliku.
7, vikosi vya russia kutesa, kubaka na kuua raia wasio na hatia. Kitendo hiki kitafanya operation iwe ngumu sana maana vijana wa ukraine watataka kulipa kisasi kwa maadui zao ambao wamedhulumu maisha ya ndugu zao.
8, kushindwa kukata supply ya silaha za kushambulia na kujilinda kutoka kwa maadui zake yaani mabeberu. Kwa jicho la medani urusi amezidiwa coz mbinu moja wapo ya medani unazuia adui yako asipate msaada ili ajifie mwenyewe.
Mwisho, operation yoyote ya medani inaitaji weledi wa juu ili kufikia lengo kwa haraka bila kupata hasara kubwa ya vifaa, binadamu na Pesa. Operation chakaza iliotekelezwa na jwtz kumuondoa Amini Bora ingeishia mpakani baada ya kumfurusha amini kuliko kukaa miezi Sita vitani na kusababisha taifa kutumbukia kwenye mdororo wa uchumi. Kalibu kwa michango yenu wakuu yenye staha na heshima ya kitanzania.