Kama Tanks zake na Jets zimeshushwa kizembe tu Ukraine, nina mashaka na efficiency ya hizo nukes zake.Vyombo vya kimangaribi vikitangaza wanajeshi wa ukraine wamejisalimisha wote mnasema yeees
vikitangaza urusi kuna mahali anakwama mnasema propaganda hahaha
kiukweli Russia kabaki na Nuclear tu hiyo ndio silaha yake ya mwisho na kibaya wenzake wanazo yaani hakuna wakumtisha mwenzie maana hakuna atakaebaki salama