FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

Mh na hiyo ni hoja kutoka kwa mtu mwenye akili timamu! Japo ungetumia lugha ya staa kuwakilisha mawazo yako! Ukiambiwa kuthibitisha hayo matusi na madai unao ushahidi!
USHAHIDI ANAO DAUDI BASHITE NA MKULU KWANI UMEMSIKIA MKULU AMEONGEA KITU TOKA KUVAMIWA CLOUDS NA NAPE KUONYESHWA BASTOLA KWA LUGHA YA KIGENI IS BEHIND THE SCENE ENGINEERING THE WHOLE FIASCO. KUMBUKA MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU BABA JESKA MWENYEWE ALISEMA.
 
 
Hoja moja umejibu zingine?
 
Nilijua tu. ROMA akiachiwa hai lazima atupiwe hili zigo la mavi.
 
Umaarufu gani?kwani roma hajulikani haya uliyoandika ni ya kufirika mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…