FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

ivi bashite anawapa nini hadi hamjitambui?
 
Siku za mwanzo wa tukio hili nilikuwa nasema wazi wazi kuwa hili tukio ni maigizo tu hamna uhalisia wowote bali watu wanatafuta kiki ,aiseee nilipewa matusi ya kutosha kutoka kwa members mbalimbali humu ila sikutaka kubishana nao bali niliwaambiwa kuwa siku zote muda ndio msema kweli ngoja tusuburi ,na kweli muda umekuja kudhihirisha kila kitu ipi kweli na ipi ni batili.
 
Matendo haya ya kishenzi yanafanywa na mkulu mwenyewe akishiriana na litoto lake jambazi lililokubuhu libashite
 
Matendo haya ya kishenzi yanafanywa na mkulu mwenyewe akishiriana na litoto lake jambazi lililokubuhu libashite
Jf, imeingiliwa siku hz, mungu tutudishie jf ya great thinker tuliokuwa nayo,sio hii ya watoto wa facebook
 
Na siku zote Bashite hajui madhara ya matendo au maneno yake. Yaani ability ya ku-foresee madhara ya maneno au matendo yake ya Leo kwa ajili ya kesho iko chini sana . Hadi Leo nashangaa wanaoendelea kumwamini wanatumia vigezo gani?
Matendo haya ya kishenzi yanafanywa na mkulu mwenyewe akishiriana na litoto lake jambazi lililokubuhu libashite
 
Matendo haya ya kishenzi yanafanywa na mkulu mwenyewe akishiriana na litoto lake jambazi lililokubuhu libashite
 
Najichimbia nikirudi ntakuja na evidence za kutosha..
 
Tulipata kuwa na Kihiyo lakini sasa kuna zaidi yake....

Ni rahisi mbwa kumtii pia kumbwekea bwana wake midhali anashiba, kuliko wala makombo wanavyodhani wanafaidi kuliko mabwana zao!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…