FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

hapo nimekubaliana na wewe mia ya mia
 
Polisi imeshindwa kubaini kama walitekwa ama walijiteka?? Kazi yao ni ipi??
 
Mambo ni kangaja huenda yakaja siku yakikukuta ndio utakumbuka hichi ukiitacho facts
 
"Madawa ya kulevya" ndio cover pekee waliyobaki nayo watawala na lumumba, unaweza ukapewa taarifa baba yako ametekwa ukahisi ni mchezo wa madawa tujitahidi kitenganisha siasa na maisha ya kawaida, tusubiri ROMA ajieleze
 
Hivi wewe hata mvua ikinyesha unasema imesababishwa na wapinzani
Cant u think big?
hivi unaweza pita barabarani Dsm au mikoani ukawaona wapinzani
Na wana rangi gani ,wanakula nini,wanaishi wapi,wanatibiwa wapi na wanapita barabara zipi?
Hivi unapotumia Neno wapinzani una refer watu gani hasa.
Nakuhakikishia hutakaa uwaone wapinzani kwa macho hata siku moja
Bali utawaona WATANZANIA wenye mitizamo tofauti tofauti wakijeleza na kuelezea maswala tofauti na ulivyo zoea wewe .

"Upinzani huanza ndani ya tumbo la mama mara tu mimba inapotungwa"

Tonny Blea:
Uk former Prime Minister
 
Sioni haja ya Magufuli kuelekeza nguvu yake kufuatilia upumbavu huu, tuna mambo mengi ya kufanya kulipeleka taifa mbele kimaendeleo.

Tukiendelea kufuata upuuzi huu tutabaki kumlaumu Magufuli kwanini haendi kwa mataifa mengine kuomba misaada kana kwamba hata Donald Trump huja Africa kuomba misaada kwetu.
 
we leta masikhara kwenye inshu inayohusisha uhai wa mtu
 
Ukifuatilia huyu mwandishi wa hii taarifa (KAKADO) unagundua ni Mtanzania na ana elimu ya darasa la Saba au Zaidi. Mfumo wetu wa elimu ndo unazalisha watu kama hawa halafu eti tunajenga Tanzania ya Viwanda. Kwa akili hizi wala hakuna haja ya kujiuliza kwa nini nchi yetu ni miongoni mwa nchi maskini duniani. Sisi ni maskini zaidi kwa upande wa akili kuliko umaskini wa kipato.
 
Nisamehe jana nilikubeza, today I smell something fishy..
 
Mmh, nikimsoma Bashe kule kuhusu utekaji na ukiisikiliza hotuba ya Lijuakali kwamba hakuna aliye salama then nikaja nikusome na wewe hapa plus alichokisema Ney wa mitego najikuta Napata shida sana kukuamini mleta uzi.
 
Mmh, nikimsoma Bashe kule kuhusu utekaji na ukiisikiliza hotuba ya Lijuakali kwamba hakuna aliye salama then nikaja nikusome na wewe hapa plus alichokisema Ney wa mitego najikuta Napata shida sana kukuamini mleta uzi.
Siku zote mafuta hujitenga na maji,sambamba hakuna marefu yasio na nncha,ukweli utakuwa hadharani muda sio mrefu....usanii katika maswala muhimu yanayohusu taifa tunapaswa kupiga vita kuliko hata tunavyopiga vita malaria na magonjwa mengine.
 
Inaonekana mleta mada aliibiwa mtihani ktk masomo yake ndo maana KAKARIRI HADI MBINU ZA UTEKAJI.
Mawazo alitekwake?
Dr. Mvungi ilikuwaje
Dr. Ulimboka je
Yule George wa JKT ailitekwaje?
mie nashauri tumsubiri ROMA mwenyewe
 
Ukiniambia ilikuaje akaibukia kituo cha police nita amin yote unayosema
 

Kwanza nianze hapo mwishoni, kama hujui kuandika jina la mtu kweli na akili ya kugoogle umeikosa kabisa!? DAH

Lingine umeuliza umejijibu mwenyewe kivyako, kivyangu utakimbia mbio hujawahi kukimbia maishani mwako, na ndio nimeamua kuishia hapa.

Usisahau


Hapa kazi tu
 
Nilikuwa nakutafuta ili nikuongeze kwenye ignore list,asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…