Fact check!

Fact check!

Kiswahili kimefanya nchi yetu kuna umoja, makabila yanapendana, hakuna ukabila [emoji23][emoji23][emoji23]
Kupendana Kisha usiku mwala mihogo kwa chai kavu?
Mpumbavu yupi anayeweka upendo mbele ya kipato?
Ama you are too old to understand?

Kumebadilika Kaka,sahizi si kama enzi zenu za uzembe na usingizi
 
Endelea kuabudu hicho kingereza [emoji23][emoji23][emoji23]

Uchumi wa kunyaland ni wa kwenye makaratasi,
Highest worldwide wanapokea misaada ya chakula karne hii.
Failed state kenya.
Old man,how does a failed state record an economic growth which is among the highest worldwide?

Ama kingereza kinakupiga chenga?
 
Tunakula mihogo according to failed state kenya [emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi unajua huwa tukigoma kuwauzia maindi huwa mnatembea kwa magoti kutoka kunyaland failed state hadi Tanzania.
Kupendana Kisha usiku mwala mihogo kwa chai kavu?
Mpumbavu yupi anayeweka upendo mbele ya kipato?
Ama you are too old to understand?

Kumebadilika Kaka,sahizi si kama enzi zenu za uzembe na usingizi
 
Endelea kuabudu hicho kingereza [emoji23][emoji23][emoji23]

Uchumi wa kunyaland ni wa kwenye makaratasi,
Highest worldwide wanapokea misaada ya chakula karne hii.
Failed state kenya.
Ata useme kunyaland,twajua Nani ndio mabingwa katika ukanda wa mashariki. Wajua Kodi ninayolipa kwa mwezi ni mshahara wako wa mwaka mzima?
 
Tunakula mihogo according to failed state kenya [emoji23][emoji23][emoji23] mbona uifikirie kulingana na umri wako?

Ama akiki ya uzee ndio inayokutatiza?

Hivi unajua huwa tukigoma kuwauzia maindi huwa mnatembea kwa magoti kutoka kunyaland failed state hadi Tanzania.
 
Mabingwa wa kupewa misaada ya chakula karne hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Unalipa kodi kila mwezi alafu mimi naishi kwangu nimejenga sina usumbufu wa kudaiwa kodi kila mwezi [emoji23][emoji23][emoji23] nani bora,
Usicatch mafeeling lakini.
Ata useme kunyaland,twajua Nani ndio mabingwa katika ukanda wa mashariki. Wajua Kodi ninayolipa kwa mwezi ni mshahara wako wa mwaka mzima?
 
People here usually say that Kenya suffers from starvation. But why would a starving country donate food?
We jamaa hujielewi ama una mental illness km Kenya inavyosema kuwa quarter population of your nation mna mental illness na ina rise.
Watu wanakufa njaa huko Turkana ww waja bwabwaja huku!!

Inamaana ww una akili kuwazidi hawa?!!
 
Iweje watu bongolala waamka late hivi..hauna kazi ya kufanya?

Njoo Kenya nkupe kazi ya upishi..inasemekana kuwa waTz ni wapishi walio na ubabe
 
Kwanini tunataka kujidanganya nafsi zetu, haijalishi ni nchi gani, tunaangalia watu wanauhaba wa chakula au hawana?

Siasa ibaki kuwa siasa, watu wanaweza kusema chochote hata kama hakiakisi ukweli.

Pia tusisahau kutoa ni moyo sio utajiri.
 
Nijihangaishe yann?!
We unajua nimeamka saa ngapi!?
Hii inaonekana kenya mkiamka kitu cha kwanza kushika sim.
Mm nimeamka since dawn nikafanya yangu nikagawa majukumu asa nimetulia.
Ww kahangaike upate hela ya kodi ya kibanda cha kibera kule maana mm sijapanga nina nyumba.
Iweje watu bongolala waamka late hivi..hauna kazi ya kufanya?

Njoo Kenya nkupe kazi ya upishi..inasemekana kuwa waTz ni wapishi walio na ubabe
 
Back
Top Bottom