Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
-
- #41
Saizi Masilingi yupo USA kwa approval ya nani? Sikiliza hyo clip vzr usikae kwenye sentesi moja. Afu usilazimishe Magufuli awe na matamshi/mpangilio wa maneno uupendao wewe. La msingi pata maana ya jumla ya Maelezo yake ndio ulete kwa jamii.
Kwa nn mnapenda kudonoa ka punje ka chuya kwenye gunia la mchele na kufanya ndio sifa ya mchele wote. Wewe huna tongue sleepary?.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Ona na wewe unatudanganya eti Oct 25!!!. Utetezi wa mtu mwongo haukubaliki hata kidogo. Hangaikia teuzi hizi zinatutoa akili.Mkuu Missile of the Nation, kwanza Asante kwa bandiko lako la facts checking na asante kutuwekea video clip ya Magufuli alichosema Muleba, Magufuli is very right.
Amesema Masilingi aliteuliwa balozi baada ya kumpisha jimbo Mama Tibaijuka, hata kama mwanzo aliteuliwa na JK, baada ya Serikali mpya kuingia madarakani, Rais mpya anawateua upya mabalozi wote, ma RC wote na ma DC wote, hata kama mwanzo waliteuliwa na mtangulizi wake, re appointment amefanya yeye, hivyo he is right Magufuli amemteua Masilingi.
Moja ya sifa za ziada za Magufuli ni Mkweli Daima!.
Nawashauri Watanzania wenzangu, Wazalendo wa kweli wanaolitakia mema taifa hili, October 25 tusifanye malisa!.
P
Magu anaomba hisani kwa Wana Kagera.Mkuu Missile of the Nation, kwanza Asante kwa bandiko lako la facts checking na asante kutuwekea video clip ya Magufuli alichosema Muleba, Magufuli is very right.
Amesema Masilingi aliteuliwa balozi baada ya kumpisha jimbo Mama Tibaijuka, hata kama mwanzo aliteuliwa na JK, baada ya Serikali mpya kuingia madarakani, Rais mpya anawateua upya mabalozi wote, ma RC wote na ma DC wote, hata kama mwanzo waliteuliwa na mtangulizi wake, re appointment amefanya yeye, hivyo he is right Magufuli amemteua Masilingi.
Moja ya sifa za ziada za Magufuli ni Mkweli Daima!.
Nawashauri Watanzania wenzangu, Wazalendo wa kweli wanaolitakia mema taifa hili, October 25 tusifanye malisa!.
P
Huyo MEKO (Magufuli) ni muongo siku zote, haelewi anachosemaKwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa mwaka huu wa 2020, Rais Magufuli alipopita katika mkoa wa Kagera wilayani Muleba, aliwaambia wananchi wa wilaya hiyo kuwa anafahamiana sana na mheshimiwa Masilingi na kwamba yeye ndiye aliyemteua Masilingi kuwa Balozi Marekani baada ya Ubunge wake huko Muleba.
Ukweli ni kwamba Masilingi aliteuliwa na Rais Mstaafu Kikwete kuwa Balozi wa Marekani mwezi AUGUST 2015, wakati huo Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lakini pia, Ndugu Masilingi hakuwemo kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania la mwaka 2010 hadi 2015.
Ukweli ni kwamba ndugu Masilingi alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Netherlands mwaka 2013, wakati huo Magufuli ni Waziri.
Tunaomba Wagombea Urais pindi wakijinadi mbele ya wananchi waseme ukweli, Wasidanganye wananchi.
Naiomba na Tume ya Uchaguzi, badala ya kukemea matusi peke yake ikemee wagombea kusema uongo majukwaani.
Wananchi wana haki ya kuambiwa ukweli na siyo kupigwa kamba!
Hapa chini ni video ya Magufuli huko Muleba:
View attachment 1572029
Wakati huo mtandao wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani unasema ifuatavyo kuhusu ubalozi wa Masilingi:
View attachment 1572036
TUNATAKA VIONGOZI WASEMA KWELI
Licha ya kumteua pia amekuwa akimuongezea muda wa kuendelea kuwa balozi huko USA. Nalo pia mtoa post unapingana nalo?
Ivi Magu adanganye kuhusu ubalozi wa Masilingi akiwa anatafuta nn?
Nimegundua haters wa JF walipenda sana JPM apate upinzani BUKOBA ktk kampeni zake cha ajabu Wazirankende wame show love ya kupitiliza kwa mgombea JPM. Watoto wakienda kampeni za Lissu wanakuwa maarufu lkn watoto haohao ktk kampeni kumlaki JPM Bukoba wanakuwa wanatumika. My friends opp politicians jiangalieni na hoja zenu kwetu. Kimsingi huwa mnakosa strong points to stand on. Inawaondolea credibility kwa jamii ya waelewa wa mambo na kuwaona nanyie ni walewale na tena hamna agenda zenye mashiko zaidi ya kuwa haters tu.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Ukimsikiliza Tundu Lissu anaongea zaidi kwa huzuni kuliko hasira sio kama anavyofanya mpinzani wake meko.Huyo MEKO (Magufuli) ni muongo siku zote, haelewi anachosema
ashakuwa muongo kama msukuma mwenzake , mzilankendeHuko kwenu mtapiga kura October, 25?
Kwa hali ilivyo ipo siku magufuli atatuambia ni yeye aliyemteua profesa Juma Assad, na wapuuzi kama Paskali Mayala watakuja kumtetea.Ukweli ni kwamba Masilingi hajateuliwa na Magufuri ,Masilingi aliteuliwa na kikwetw, labda hatuambie ni lini Masilingi uteuzi wake ulitenguliwa na Magufuri akaja kumwokota na kumteua. Kwa hyo ukweli ni kwamba Magufuri alichokifanya ni kuendeleza uteuzi wa Kikwete
Kama anafanyiwa extension kiapo cha nn? Tambua Magufuli alikuwa na uwezo kikatiba wa kutengua uteuzi wa Masilingi toka siku Magufuli alipo apa kuwa Rais wa JMT 2015.Umewahi kuona Masilingi anakula kiapo cha ubalozi mbele ya Magufuli?
Mkuu msamehe bure. Huyo ni mwana Ufipa. Ujuaji mwingi wa kuwapotosha wenzie.Kama huelewi taratibu za uteuzi ni bora ukakaa kimya!
Mkuu Missile of the Nation, kwanza Asante kwa bandiko lako la facts checking na asante kutuwekea video clip ya Magufuli alichosema Muleba, Magufuli is very right.
Amesema Masilingi aliteuliwa balozi baada ya kumpisha jimbo Mama Tibaijuka, hata kama mwanzo aliteuliwa na JK, baada ya Serikali mpya kuingia madarakani, Rais mpya anawateua upya mabalozi wote, ma RC wote na ma DC wote, hata kama mwanzo waliteuliwa na mtangulizi wake, re appointment amefanya yeye, hivyo he is right Magufuli amemteua Masilingi.
Moja ya sifa za ziada za Magufuli ni Mkweli Daima!.
Nawashauri Watanzania wenzangu, Wazalendo wa kweli wanaolitakia mema taifa hili, October 25 tusifanye malisa!.
P
Balozi muda wake unaisha lini ili uwe unaongezwaongezwa kila ukiisha?Ndio hicho anacho maanisha kila muda wake wa ubalozi ukiisha huwa anamuuongezea, kwani anapomuongezea sio uteuzi?
Kama anafanyiwa extension kiapo cha nn? Tambua Magufuli alikuwa na uwezo kikatiba wa kutengua uteuzi wa Masilingi toka siku Magufuli alipo apa kuwa Rais wa JMT 2015.
MASILINGI yupo USA kwa appointment ya JPM huo ndo ukweli aliosema JPM jana kwa ujumla wake. Nakusisitiza kuelewa general concept ya maneno ya JPM Jana na si sentesi moja tu. Otherwise una nia yako tofauti ktk hili.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Hapana. Inaweza kuwa kipindi cha uteuzi ule wa kwanza uliofanywa na Kikwete kiliisha, halafu JPM akaamua kumuongezea. Ni kiswahili tu badala ya JPM kusema kuwa alimbakiza ili aendelee kuwa Balozi, akaishia kusema alimteuaUkweli ni kwamba Masilingi aliteuliwa na Rais Mstaafu Kikwete kuwa Balozi wa Marekani mwezi AUGUST 2015, wakati huo Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hapana. Inaweza kuwa kipindi cha uteuzi ule wa kwanza uliofanywa na Kikwete kiliisha, halafu JPM akaamua kumuongezea. Ni kiswahili tu badala ya JPM kusema kuwa alimbakiza kwa kumteua mara pili ili aendelee kuwa Balozi, akaishia kusema alimteua