Fact Checking: Rais Magufuli hukumteua Masilingi kuwa Balozi Marekani baada ya kumaliza Ubunge wa Muleba

Makubwa yapi? Na unajuaje wengine hawawezi kufanya makubwa zaidi, kwa nidhamu ya juu zaidi ya hii tunayoiona ya vituko vya Magufuli?

Inawezekana tuna standards tofauti.
 
Ina maana hujui nani alie nyuma ya haya yote?
 
Wewe ni mtu mwenye chuki zako binafsi na Magufuli. Of course Raisi ndio anapitisha jina la mtu na kama hafai anatolewa. Of course Magu ndio boss wake mjinga wewe
 
Nikuweke sawa mtoa mada, mkuu wa nchi alisema amekuwa akimuongezea muda kuwa balozi kila mara muda wake unapoisha.


Ona AIBU unapochangia humu JF,

Sikiliza hotuba uelewe nini KIMETAMKWA.

UONGO NI DHAMBI.
 
Hutu Ni ongo halafu nafiki kweli huonagi anavyoenda kanisani kutembea , vipi na vitendo na kauli zake , kwa Mkapa kajiliza huku ndio mhusika.
 
Wote uliowasema waliandikiwa barua ya reappointment?
 

Daah, Bwana yule muongo hivi. Wananchi wana JAMBO LAO tarehe 28 Oktoba 2020.
 
Baada ya October nikumbushe nikupe pole yako!.
Pia usisahau kunishukuru kwa kukuandaa kisaikolojia kupokea kipigo, hivyo ku reduces the impact of defeat.
P
Yaani kiufupi mpo frastuated hamtaiba hata robo ya kura
 
Labda anamaanisha urais kama taasisi, aliyemteua Masilingi ni rais na Magufuli ni rais!
 
Sawa ni kweli daima Kuna muhimili uliojichimbia kushinda mwenzake,1.5 Tillion hazijapotea ,ATCL inakaguliwa na CAG,tenda ya uwanja wa Tchato ilitangazwa publicly

Rais wetu ni mzalendo haswaa ,hafanyi unajisi wa agency za umma wala sheria zake
 
Ona AIBU unapochangia humu JF,

Sikiliza hotuba uelewe nini KIMETAMKWA.

UONGO NI DHAMBI.
Usilazimishe mimi kuelewa ulivyoelewa wewe kisa tu unachuki na JPM. Pia huna hoja za msingi za kumkosoa,maana urais ni taasisi ambayo inaongozwa marais. So kusema alimteua sioni kuna ubaya kisa tu mtangulizi wake alifanya first appointment.
 

The President Dr Magufuli is right, he re-appointed Lawyer Masilingi as an ambassador.
 
wewe ndio Muongo
Magufuli alirudisha nyumbani mabalozi wote,waliotemwa wakatemwa,waliorudi wakarudi na wapya wakaingia
Yupo sahihi kwa kuwa alimfanyia extension,muda wa Masilingi kustaafu umepita bwashee,acha kusema Rais wetu muongo

Aliwaita nyumbani kujadiliana nao, kama vile alivyowahi kuita watendaji wa kata wote Ikulu kupeana miongozo ya kazi.
Hakuwaita mabalozi kuwatengua wote na kisha kuteua upya!
 
Aseme Ukweli

Watu walikuwa wanamsikiliza huku kimoyomoyo wakijisemea huyu mzee haoni haya kupiga watu kamba mchana kweupeee?

Kama anapiga watu kamba kwa vitu obvious kama hivi, Je, ni kweli atatimiza ahadi anazozinadi kwenye kampeni?
Magufuli ndio baba wa uwongo, hata zile barabara za kutoka morroco kwenda mwenge alidanganya umma kwamba zinajengwa kwa pesa za sherehe za uhuru kumbe ni Wajapan ndio wametowavmsaada.

Hili lizee lilikuwa liongo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…