Awe Mkristo au Mwislamu ;Hivi kwani lazima CCM iongoze jamani? Tumewachoka na hawana kipya tunataka mageuzi uongozi wa kimazoea hatutaki
Bila kuuma uma maneno, ni ukweli usiopingika kuwa kanisa limetoa mchango mkubwa katika kuifikisha CHADEMA hapa ilipo leo hii.
Umaarufu wa CHADEMA uliongezeka mara dufu kufuatia kanisa kutoa 'waraka' ambao jamii ya kikristo iliutafsiri vema.
Najua kuna watu watabisha kwa nguvu zote hili lakini ukweli utabaki kuwa huo. Kisingizio kuwa CHADEMA kina viongozi imara sasa hakina ukweli kwani ni viongozi hawa hawa waliokuwepo 2005 na mwenyekiti Mbowe aligombea urais.
Pia hoja ya ufisadi ndani ya CCM haina nguvu sana kwani ufisadi mwingi ulifanyika kwenye awamu zilizopita mbona CDM haikupata umaarufu huo?
Nadhani directly au indirectly kanisa liliamua kuiadhibu serikali ya awamu ya nne kwa kuvunja 'memorundum of understanding'
Mimi hofu yangu ni come 2015 elections, CCM wana turufu ambayo kama wataitumia na wameiweka kimkakati, political landscape in TZ will not be the same. Turufu yenyewe ni CCM kumsimamisha mgombea wa urais mkristo.
- Kanisa litaacha 'holy union' na CDM ili kufufua memorundum of understanding na serikali ya huyo mgombea?
- Waislamu ambao sasa wanaunga mkono CCM wataendelea kukiunga mkono ili kulinda maslahi yao?
- Wale walioenda CDM kwa wito wa kanisa watabaki huko, au watarudi kutetea maslahi serikalini?
Fabrication in full force!Sipendi mada hii kabisa. suala la nani kuchagua chama gani au nani kamsaport nani katika uchaguzi uliopita si jambo la muhimu kwa sasa.
Ila nasikitishwa na baadhi ya SMS ambazo zilikuwa zikitumwa na watu mbalimbali zikiwa na malengo tofauti.
mfano ni SMS hii.
"SMS TOKA MEZA KUU; WAPENDWA KATIKA BWANA: WAKRISTO, MAASKOFU WAMEPINGA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA JUMAPILI, CHADEMA WAMETUUNGA MKONO, HILO NI JAMBO LA BARAKA NA PIA KURA ZETU HAKUNA KUIPA CCM YA KIKWETE ANAYEWADEKEZA WAISLAM WENZAKE KWA KUWAPA VYEO,OIL NA MAHAKAMA YA KADHI, TUKIJIPANGA TUTAING'OA CCM WANI KURA ZA WAISLAMU WENZAKE ZIMEGAWANYIKA CUF NA CCM, WENGINE WANAPINGA KUPIGA KURA NA HILO NI BARAKA KWETU, TUZIDISHE MAOMBI KWA KRISTO MUNGU MKUU NA MWOKOZI WETU ILI KIKWETE NA WAISLAMU WAZIDI KUGAWANYIKA. MUNGU WABARIKI WAKRISTO, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
Nilishtuswa na SMS hii pengine nikasema huenda inatoka Usalama wa taifa. lakini nikawa nasikia MIITO mingi kutoka Makanisani eti Tusichague Chama bali Tuchague MTU. Nikajisemea, Huenda SMS ile ni Kweli.
Ninaye babangu mdogo: yeye ni Mkristo. baada ya kutoka Kupiga Kura alisema; NIMESHAUA! mshenzi yule harudi Madarakani!
Nikajisemea Moyoni "NI MUNGU GANI ANAYEWEZA KURUHUSU MWASHERATI KUONGOZA NCHI??". SI TUNAKARIBISHA LAANA???
Ni kweli maana tulishuhudia viongozi wa Kanisa wakimtetea Slaa kwa kitendo cha kuiba mke wa "Mtu"
Ni kweli maana tulishuhudia viongozi wa Kanisa wakimtetea Slaa kwa kitendo cha kuiba mke wa "Mtu"