DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Kwanini nasema hivyo?
Kwasababu yanga/utopolo ndio ina washabiki wenye roho ngumu kuliko wote hapa Afrika, wanawezaje kukaa na maumivu ya kupigwa 5 kwa 0 pale kwa mkapa mpaka leo hii,ikiwa sisi washabiki wa GIANT CLUB IN AFRICA tunashindwa hata kama rekodi yetu haijavunjwa bado.
Tupeni siri utopolo, maana tungefingwa na AL AHLY, MAMELODI ,ESPERANCE, CASABLANCA n.k tuaingeumia sababu nimaGIANT wenzetu, yaani maumivu mnayoyapitia nyinyi kudungwa na IHEFU ndio haya tunayoyapitia sisi maana tumefungwa na MEDIOCRE CLUB.