Hayo wapelekee kina mkude we deal with current events bro!!😅
Ladu Jay Dee-Faraja mp3[emoji23][emoji23][emoji23]tupeni siriView attachment 2819823
Mangungu ndiyo yupo yupo tuInapidi umwambie huyu brother.
View attachment 2819873
Nyie ndio mnstahili yaani mnapigwa kamba na viongozi wenu kila siku,mara Manzoki huku sijui Adebayor, nyie hii tuzo mnastahili kwani mnavumilia sana kamba za viongozi wenu.
View attachment 2819877
Kwanini nasema hivyo?
Kwasababu yanga/utopolo ndio ina washabiki wenye roho ngumu kuliko wote hapa Afrika,wanawezaje kukaa na maumivu ya kupigwa 5 kwa 0 pale kwa mkapa mpaka leo hii,ikiwa sisi washabiki wa GIANT CLUB IN AFRICA tunashindwa hata kama rekodi yetu haijavunjwa bado....
Tupeni siri utopolo,maana tungefingwa na AL AHLY,MAMELODI ,ESPERANCE ,CASABLANCA n.k tuaingeumia sababu nimaGIANT wenzetu,yaani maumivu mnayoyapitia nyinyi kudungwa na IHEFU ndio haya tunayoyapitia sisi maana tumefungwa na MEDIOCRE CLUB....View attachment 2819763
Wewe hukuwepo?Simba sc akikumbushwa 5 atakuletea stori na historia ya Miaka 10 iliyopita kipindi ambacho
1. Nusu ya ya idadi ya watanzania ya sasa ilikuwa haijazaliwa
2. Mitaani na uwanjani mashabiki wanawake wanaopenda na kufuatilia Mpira ni wachache
Kama ni historia yanga itakuwa ni historia kubwa kuliko simba katika ligi ya Tanzania.
Caf hawajakosea kuweka yanga miongoni mwa vilabu 5 bora barani afrika !