Fact: Magufuli destroyed our economy and we were herding to total economic depression

This was supposed to be handled through ppp not the government 100% because other parameters came to a stand still due to huge budget what was needed to finance them. It is good to have big projects but one must be careful with the welfare of the people otherwise you gonna prefer economic growth and you leave apart economic development as what jpm did.
 
Stupidity thoughts
 
Word Mkuu,,

Mbaazi zikifel kufanyanini nini sijui,, husingizia Jua,,[emoji1787]
 
JF kwa sasa, baadhi ya watu wameifanywa kama jukwaa la watu wahuni. Badala ya kujadili hoja, watu wanapenda kutukana. Hii siyo sahihi.

Kwa ujumla inflation ya sasa, ina mchanganyiko wa sababu. Aliyoileta mleta mada ni mojawapo lakini siyo pekee yake. Kuna sababu za ndani na nyingine ni nje:

1) Kupanda sana kwa bei ya mafuta Duniani kumeongeza sana gharama za uzalishaji na usafirishaji.

2) Matumizi makubwa ya Serikali, matumizi ya kawaida, matumizi ya miradi ya maendeleo na matumizi ya anasa. Ni kweli ujenzi wa miradi mikubwa unachukua pesa nyingi lakini ili uendelee ni lazima uwekeze. Labda hitilafu ilikuwa kwenye miradi mingi kwa wakati mmoja bila ya kuwa na chanzo kikubwa cha mapato. Ujenzi wa reli ulikuwa ni uamuzi sahihi. Na kama tungekuwa na treni zinazotumia umeme, hata leo hii zingesaidia kupunguza mfumko wa bei kwa sababu gharama za usafirishaji zingekuwa nafuu kwa kiwango fulani kwa sababu umeme tunazalisha wenyewe. Kuwa na umeme wa uhakika nalo lililuwa ni jambo muhimu. Labda swali lingekuja ni uamuzi upi ulikuwa sahihi zaidi, kuanzisha mradi mpya wa umeme au kuongeza uzalishaji kwenye miradi ambayo tayari ilikuwepo. Kwa upande mwingine, kutumia pesa nyingi kununua ndege, mradi ambao ni vigumu sana kutengeneza faida, wakati tayari una miradi mingine mikubwa inayohitaji pesa nyingi wakati huo huo, haikuwa sahihi. Na kuendelea kununua ndege mpaka sasa, ni kukosa weledi. Hata kama waliofanya uamuzi huo mwanzoni walifanya makosa, makosa hayo yalistahili kusahihishwa. Haitasaidia kulaumu maamuzi ya mwanzo bila ya kufanya marekebisho.

Lakini kibaya zaidi, na kinachokera, ni matumizi ya anasa ya watawala wakati tuna matatizo mengi kupindukia. Viongozi wamekuwa wakinunua magari ya kifahari ambayo hayaongezi chochote kwenye ustawi wa nchi. Ni katikati ya matatizo haya makubwa, watawala wamejiongezea posho, na haitashangaza siku tukisikia wamejiongezea na mishahara. Hekima kwa sasa ilikuwa ni kupunguza sana matumizi ya Serikali.
 
You are too low to discuss this matter.

The government does not operate like a family. it has a machinery to control inflation and all the monies spent are budgeted and so you should not get worried at all.

The challenge is poor supervision of fisical and monentary policy by Samia and Mwigulu. Should they be proactive, everything is alright.
 
Lugha ya malkia ili kuonyesha msizitizo? Angalau ni wachache wamekuelewa ila wengi ambao walimpenda JPM hawakuelewa hasa kwa kupuuza. JPM alikuwa jembe la uchumi katika bara la Afrika. Kama alibomoa uchumi nchi za Africa zingemuiga?
 
During magufuli regime that was no budget it was one man show. The parliament was there as rubber stamp. No one could Critisise whatsoever. You heard about the spread of carcases around coco beach, right?
 
Mwambie huyu bibiako asimamishe!

Anaendeleza ya nini sasa?
 
I don't know why you people compare Tanzania with Washington? The problem of economic stagnation is not for Tanzania only but for almost every country in the world. Having big projects is not bad thing if we can encourage DI in our country hence yield more income. Another alternative is to collaborate with private sector through PPP.Lets stop lamenting as if we have completely failed to revive our economy. We have every kind of resources that we can exploit it to improve our economy.
 
Mzee Kigunge alituonya akatuamnia jamaa hakufaa hata ujumbe wa nyumba kumi, lawama zote hizi ziende kwa CCM. kutuingiza chaka; Na bado yatafumuka mengi zaidi.

Waandika legacy mtusamehe hatumsemi marehemu kwa ubaya ila inabidi tuyachambue yote kabla ya ku set way forward ili yasije kutatukuta mengine yanayofanana na haya.
 
I hate the guy because of the state lead economy that he was trying to inflict which doesn't work everywhere.
U hate the guy coz of ur personal interest.bt those who ,keep the national 1st ,they admire the guy so much ,despite of his few weakness.
 
..your uzi is very good but the CONTRIBUTORS will be very few due to that that Language you use,..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
U hate the guy coz of ur personal interest.bt those who ,keep the national 1st ,they admire the guy so much ,despite of his few weakness.
Every person lives his home place but we differ approaches to developments. Jpm was totally out of track
 
-Imagine bei ya kila zao kuanzia la chakula Hadi biashara ziliharibika.

-Sekta ya nyumba iliporomoka.

-Sekta ya benki ilikuwa inaoumulia mipira,

-Sekta ya biashara ndio kabisaa vilio vya kufunga biashara vilisikika Kila kukicha,

-Kwenye investments Sasa Toka uwekezaji wa dola bil.3 Kwa mwaka Hadi mil.600 😁😁.

Mwendazake alibaki anaendesha Uchumi Kwa kutegemea vitu 3,
-Bandari zetu(hizi zinategemea uchumi wa Nchi jirani?
-Bei ya dhahabu soko la Dunia ikipanda sana,
-Utalii,
-Mikopo hasa ya kibiashara.

Angekuwa hai awamu ya pili tozo zingekuwa mara 2 maana ni serikali yake ndio ulikuja na tozo mwaka 2021,ikumbukwe Mpango wa uchumi huandaliwa baada ya nusu ya mwaka.
-Pia hali ya maisha ingekuwa mbaya sana na ambavyo alitunga Sheria za kuzuia kutoa takwimu mbadala tungekoma..

Jiwe sio tuu alikuwa failure ila hata mamiradi yake yataitesa Nchi Kwa miaka Mingi ijayo maana Sgr ni total loss..
 
Labda kama yupo Jpm mwingine ambaye sie wananchi hatumjui lakini kama ni yule mwamba na shujaa wa Afrika hakika umeyakanyaga.

Jpm hakusoma uchumi kama bibi yenu na sharohalo wa msoga lakini aliyoyaacha ni makubwa dunia nzima inajivunia. Leo mnajenga while na wazazi hawataki kuleta watoto wao, mnaficha matokeo, mimba zimerudi shuleni, maisha yako juu kuliko mlima Kilimanjaro na bado mishahara yenyewe inatoka kwa tochi na bado mnajisifia

Mmeyakanyaga na mtapigwa kama ngoma
 
Nina kuhakikishia Jiwe angekuwa Rais Hadi Sasa Nchi ingekuwa shimoni..

Just imagine kaongoza Nchi Kwa sehemu kubwa haikuwa na Changamoto zozote huko Duniani ila Sasa ,

Mafuta ya mitambo yaliwahi adimika mara 2,Je kipindi hiki ingekuaje?

Soko la Sukari alivuruga na Sukari ikaadimika ananza kusingizia wafanyabiashara na ndio Mwanzo wa bei kupanda,

Saruji mwaka 2019 iliadimika na ndio ukawa Mwanzo wa bei kupanda ,

Hapo sijagusia sakata la korosho nk.

Jiwe aliwekeza Nguvu kubwa kufanya propaganda,kujisifu na kutosha wakosoaji wake .
 
Wewe tunakujua hupendagi watu wa kanda ya ziwa na hauna sababu ya msingi! Mfano kwa sasa Samia kafanya nini cha maana na kwa taarifa yako hakuna Rais mbovu kama huyu subiri atoke madarakani na chawa wake waache kumsifia na aache kuwapa asali watu ili wasimkosoe!
 
As it stands we will continue to be poor and live in pain because of dishonest guys like you ,Why do you hate JPM ?
JPM was the real disaster to this country, thanks that he's gone!
 
Ingekuwa shimoni?

Sasa hivi ipo wapi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…