-Imagine bei ya kila zao kuanzia la chakula Hadi biashara ziliharibika.
-Sekta ya nyumba iliporomoka.
-Sekta ya benki ilikuwa inaoumulia mipira,
-Sekta ya biashara ndio kabisaa vilio vya kufunga biashara vilisikika Kila kukicha,
-Kwenye investments Sasa Toka uwekezaji wa dola bil.3 Kwa mwaka Hadi mil.600 [emoji16][emoji16].
Mwendazake alibaki anaendesha Uchumi Kwa kutegemea vitu 3,
-Bandari zetu(hizi zinategemea uchumi wa Nchi jirani?
-Bei ya dhahabu soko la Dunia ikipanda sana,
-Utalii,
-Mikopo hasa ya kibiashara.
Angekuwa hai awamu ya pili tozo zingekuwa mara 2 maana ni serikali yake ndio ulikuja na tozo mwaka 2021,ikumbukwe Mpango wa uchumi huandaliwa baada ya nusu ya mwaka.
-Pia hali ya maisha ingekuwa mbaya sana na ambavyo alitunga Sheria za kuzuia kutoa takwimu mbadala tungekoma..
Jiwe sio tuu alikuwa failure ila hata mamiradi yake yataitesa Nchi Kwa miaka Mingi ijayo maana Sgr ni total loss..