Fact: Magufuli destroyed our economy and we were herding to total economic depression

Kwa hiyo ulitaka jiwe aendeshe uchumi kwa kutegemea tozo kama huyu bibiako?
 
Kwenda zako wewe mpigaji tu. Kingereza chenyewe hujui. Unafikiri kila mafanikio kiuchumi ya nchi yanapimwa kwa mtazamo wa mfanyabiashara?
 
Miafrika hata hatujui tunataka nini. Natamani kweli hata tuje tutawaliwe tena maana hatujajifunza lo lote [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Itachukua muda mrefu sana kurekebisha makosa makubwa katika uchumi
 
Yaani wewe you are just stupid. Because the economost or any other capitalists called those projects white elephants you tend to believe them.
Can you explain then how GDP per capita evolved to usd 1085 suddenly under Magufuli and the country became lower income middle economy?
 
Umesahau uporaji na lile jinamizi la plea bargain
 
Kumlaumu muda wote mtu aliyekufa kama JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI tena miaka inaenda kuwa mitatu ni ishara tosha kwamba watu wengi AKILI hakuna,kama ni bandari,madini,wanyama na rasilimali nyingi ameziacha hajabeba hata kimoja.Kweli watu weusi tuna safari ndefu sana sana.Kiingereza umeandika tena kwa lawama lkn tatizo linabaki kuwa AKILI NDIO HAZIPO.Tutajikuta muda wote ni kumlaumu Magufuli huku tukiusahau utajiri tulio nao nyuma bila ulinzi wowote na Anaye wachezesha ngoma ya Magufuli muda wote hakika amefaulu sana.TUSIJISAHAU NAMNA HIYO NI HATARI SANA.
 
During magufuli regime that was no budget it was one man show. The parliament was there as rubber stamp. No one could Critisise whatsoever. You heard about the spread of carcases around coco beach, right?
Kama bunge likijadili bajeti hali ndo hii Kuna haja gani ya bunge kujadili
 
Tanzania ilipata uhuru mwaka gani , na hayati JPM aliingia madarakani mwaka gani. Kipi cha kujivunia ambacho kilifanywa na wengine hayati JPM akaharibu. Mtu mzima kumlalamikia marehemu ni uelewa mdogo
 

Herding? You wrote herding? wtf? Lmao..
 
Put it in Swahili, may be you hate kiwahili that's why you speak negatively about JPM. For your information, JPM was a man with vision. A good leader is the one who knows how to direct his/her people in a proper way. JPM was the one.
 
During magufuli regime that was no budget it was one man show. The parliament was there as rubber stamp. No one could Critisise whatsoever. You heard about the spread of carcases around coco beach, right?
Weak argument, corpse have been found even in sixth phase of governance, they are not indicators of cruelty of a certain president,

This world is so evil. Another method of killing among citizens and has been like this for decades and decades.
 
My dear writer please! can you tell us about the level of your education, because the title does not match with description.
 
Only someone from hell will say that the investment started by JPM is ineffective! How many billions are lost to CCM's corruption and theft? Do you think there is a comparison between the money stolen by CCM and the existing investment! You will be out of your mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…