Fact: Magufuli destroyed our economy and we were herding to total economic depression

Ni wapuuzi na wajinga kama wewe ndio mnaita miradi ya hovyo eti investments..

Ndege zimeletq nini Hadi Sasa? Sgr hiyo inayoenda kusiko na Cha kubeba ni investment au liability? Walau bwawa japo nalo ni too costful..

Mwisho kujenga daraja la bil.700 na kujenga Barabara ya km 600 Kwa bil.700 ipi ni investment yenye Tija na itakayolipa Kwa haraka?
 
Mpango mwenyewe amekiri Kasi ya Sasa ni kubwa kuliko walilotoka na Mwendazake
Rais Samia na Mwigulu wanahitaji pongezi
 
Tukiuliza tunaambiwa pesa zipo China lengo kuamisha goli
 
Tofauti kubwa ya nchi zilizoendelea, lawama kwa serkali iliyopita huisha baada ya serkali mpya kuapishwa. Lakini huku kwetu kila serkali iliyopo ikishindwa kufanya kazi na kuleta mabadiliko hukimbilia kuilaumu serkali ilioondoka madarakani. Serkali iliyopo kwa kutambua makosa ya serkali iliyopita ni jukumu lake kubadili mwelekeo siyo kila kukicha ni kuisingizia na kuilaumu serkali iliyopita.
 
Kwani Mchumi pekee nchi hii anaseje?@mwigulu nchemba
 
Nimeuliza hivi, naomba nirudie tena we mrevi na mbumbumbu la ccm!

Pesa zilizoibwa na zinazoendelea kuibwa na mbwa wenu huko ccm ni nyingi kiasi gani unapolinganisha na miradi ambayo ilianzishwa na JPM?
 
Jpm ndo mwasisi kila kukicha alikuwa namuatack jk mpaka jk akaaamua kuhama nchi kwa muda.
 
Hahaaaa.....nikajua unaleta hoja kumbe unajibu swali LA history one.
 
Nimeuliza hivi, naomba nirudie tena we mrevi na mbumbumbu la ccm!

Pesa zilizoibwa na zinazoendelea kuibwa na mbwa wenu huko ccm ni nyingi kiasi gani unapolinganisha na miradi ambayo ilianzishwa na JPM?
Kuna awamu haikuanzisha miradi? Huyo alianzisha Kwa nini hakumaliza miaka yote 6?
Eti alianzisha,kuanzisha ndio nini?

Mwisho miradi ipi hiyo yenye Tija? Nitajie mradi unaoona wewe wa maana ambao utaondoa amaskini wako walau wa kipato maana umaskini wa akili ni laana uliyorithi Kwa waliokuzaa
 
Nimekuuliza wewe shoga la sisisem, pesa inayoibwa na kuporwa na masisieni yasiyojua kufa na kwenda kabrini yakiwa utupu, inaulinganifu gani na miradi iliyoanzishwa na usiyempenda JPM?

Hizo pesa zinazoibwa na masisiem ingeliwekezwa kwa miradi ya nchi yetu tungelikuwa na umasikini uliopo leo we kenge?
 
Nigga what? Let em' somebody's call em' WALINDA LEGACY they comin' soon, u'll get what u deserve my friend!!
 
Mkuu nafikiri utakuwa na matatizo ya akili. Jama kafa nchi ipo uchumi wa kati haikujalishi kulikuwa na corona saiz tupo nchi maskini na corona ishaisha, vitu bei juu afu unaongea as if umesahau kixhwa chako chumbani
 
Hebu acheni vingereza venu vya kuunga na gundi, kuongea kingereza katikati ya waswahili ni mawazo ya kikoloni hivo
 
Mnatumia nguvu nyingi sana kupambana na mtu aliye kimya. Ila matendo yake yanaongea kwa sauti kubwa sana na inasikika hadi mbali sana ata muunganishe za kwwnu wote walamba asali haziwezi hata kufika asilimia 0.0000001. jamaa alifanya makubwa hayajawahifanyika na mtu yeyote toka taifa la tanganyika liumbww
 
Strictly speaking, JPM has not only destroyed our economy but he was also a looter of public funds in big sums and the looted fund was directed to Chato to establish white elephant projects at the expense of poverty in other parts of the country. Thank God this creature was abruptly removed from this planet and we are now living a happy life compared to his ruling tenure. God bless mama Samia, God bless Tanzania.

Quote: Watu wazuri hawafi ndio maana mama Samia upo hai ili utuvushe salama (By Yusufu Makamba)
 
Before I comment go back and check the meaning of the word "fact". Are you sure for what you are saying?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…