Fact: Mbosso is on fire, lakini anaitaji local media support

Yupo kwenye hili game hao akina mbosso sijui watasubiri sana!
WCB moja ya vitu vimenishinda kuwaelewa ni kuhusu Mbosso.

Dogo ni garasha hasa, kapewa kila kitu lakini wapi, naimagine Aslay au Beka ndo wangepewa chansi hii.
 
Kubali Kataa! Tabuu kwa hizi pande mbili (clouds Vs Wcb) iko palepale hasa hawa wcb hawa ndo wanapata shidaa sana, now clouds hawataki sauti ya kiumbe yeyote wa wcb kusikika hata kwenye tangazo lolote katika radio yao!! Rejea kuwa 💎 platnumz ana mikataba na coca, voda nk ya matangazo hivyo hapo angalia Nani anapata shida!
Siku si nyingi mkubwa fela (kwaniaba ya Wale mameneja uchwara) atasikika katika sipika za krauzi efuem akiwaombea msamaha, subiri mda ufike
 
WCB moja ya vitu vimenishinda kuwaelewa ni kuhusu Mbosso.

Dogo ni garasha hasa, kapewa kila kitu lakini wapi, naimagine Aslay au Beka ndo wangepewa chansi hii.
Kiukweli kwa biashara aliyekuwa anatakiwa kuchukuliwa pale ni aslay au beka!
Nadhani huenda Dogo alikua anaelewana sana na Mkubwa fella ndio Maana akaunganishiwa wcb!

Na hili bifu lao Na media zilizo nyingi ndo wameharibu kabisa!
 
nadhani Wcb watake suluhishi na IPP lakini wale wengine waachane nao.IPP wana Tv promotion n Radio Promotion iliyo fair.
 
Kiukweli kwa biashara aliyekuwa anatakiwa kuchukuliwa pale ni aslay au beka!
Nadhani huenda Dogo alikua anaelewana sana na Mkubwa fella ndio Maana akaunganishiwa wcb!

Na hili bifu lao Na media zilizo nyingi ndo wameharibu kabisa!
Fact
 
Haitaji media uchwara hizo wasafi tv na YouTube zinatosha plus mashow kibao
 
Mimi nampenda sana huyu mtoto ana tuwimbo tutamu sauti yake kama mzee wetu issa matona .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…