Fact: Mbosso is on fire, lakini anaitaji local media support

Fact: Mbosso is on fire, lakini anaitaji local media support

Aslay aliishia kwenye natamba, ukisikia hit nyingine toka kwake niambie nijitoe JF
Kwahiyo we ndo unajua anaandaa ngoma za aina gani huko?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Wabongo bhana!

We si ndo uliletaga sijui shoo ya aslay na nandy aliyoaanda ruge sijui imefeli!

Punguza chuki mkuu kwa comment zako huwa inaonyesha huenda upo hapo wcb!
 
Lakini mbona wanapiga show kila wiki mambo ya kunyenyekea binadamu yashapita muda wake ata wao wanastruggle mashabiki karibu nusu wamekimbia
Nguvu inayotumika ni kubwa na bado haitoshi
 
Kiukweli kwa biashara aliyekuwa anatakiwa kuchukuliwa pale ni aslay au beka!
Nadhani huenda Dogo alikua anaelewana sana na Mkubwa fella ndio Maana akaunganishiwa wcb!

Na hili bifu lao Na media zilizo nyingi ndo wameharibu kabisa!
Ukisema kibiashara hakuna msanii asiye biashara. Ishu ni coverage ya project zako, je zinawafikiaje wale mashabiki kindakindaki wa bongofleva wasio na habari na youtube au insta.. Naiona gap ya muziki wa mbosso ipo hapo ila kipaji anacho tena kikubwa sana, naamini atafika mbali ila kwa kutumia nguvu kubwa isiyo na ulazima. Hao wenzake uliowataja media zote bongo wanapigwa kila kukicha bila mizengwe kwa hiyo naweza sema wana privilege kubwa ya kuaminiwa km wataitumia vzr hiyo nafasi
 
Kwahiyo hata redio za mikoani na za dar ni za ruge? mbona ngoma ilipigwa sana redio zote?
Hujui kama Redio za mikoani zinafuata upepo wa Clouds? Yaani wimbo ukipigwa Clouds ndo wanaamini kuwa ni mzuri na wao wanaupiga[emoji16][emoji16]
 
Kwahiyo we ndo unajua anaandaa ngoma za aina gani huko?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Wabongo bhana!

We si ndo uliletaga sijui shoo ya aslay na nandy aliyoaanda ruge sijui imefeli!

Punguza chuki mkuu kwa comment zako huwa inaonyesha huenda upo hapo wcb!

Na wewe kwa comments zako inaonyesha una chuki na wcb.
 
Na wewe kwa comments zako inaonyesha una chuki na wcb.
[emoji23] [emoji23]
Tafuta nyuzi za nyumaaa huko ambapo ligi ya wcb na team kiba zilivyokuwa hot ndo utajua!
Kusema ukweli ndo chuki?
 
[emoji23] [emoji23]
Tafuta nyuzi za nyumaaa huko ambapo ligi ya wcb na team kiba zilivyokuwa hot ndo utajua!
Kusema ukweli ndo chuki?

Na mimi kusema ukweli ndio chuki? km vp potezea comment zangu mamako
 
Usishangae kukuta mleta uzi ndo Mbosso mwenyewe.Mambo ya kutumia majina fake...
 
Lakini mbona wanapiga show kila wiki mambo ya kunyenyekea binadamu yashapita muda wake ata wao wanastruggle mashabiki karibu nusu wamekimbia
Wasinyenyekee ndiyo ila wafanye kazi kwa weledi utakaoepusha migogoro ya kijinga na stake holders.
 
Back
Top Bottom