Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Kwahiyo hata redio za mikoani na za dar ni za ruge? mbona ngoma ilipigwa sana redio zote?Sema kueleweka na Ruge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hata redio za mikoani na za dar ni za ruge? mbona ngoma ilipigwa sana redio zote?Sema kueleweka na Ruge
Fact mkuu ila hao clouds ni mbwa tu
Kwa hii comment yako ya pili unaonekana ni kajitu flani una chuki isiyo na maana!Mbona huyo aslay hasikiki sahv
Kwahiyo we ndo unajua anaandaa ngoma za aina gani huko?Aslay aliishia kwenye natamba, ukisikia hit nyingine toka kwake niambie nijitoe JF
Sio watanzania wote wanatumia social media kama source ya habari haswa za burudaniBado social media hazitoshi, ukweli lazima usemwe.
Nguvu inayotumika ni kubwa na bado haitoshiLakini mbona wanapiga show kila wiki mambo ya kunyenyekea binadamu yashapita muda wake ata wao wanastruggle mashabiki karibu nusu wamekimbia
Ukisema kibiashara hakuna msanii asiye biashara. Ishu ni coverage ya project zako, je zinawafikiaje wale mashabiki kindakindaki wa bongofleva wasio na habari na youtube au insta.. Naiona gap ya muziki wa mbosso ipo hapo ila kipaji anacho tena kikubwa sana, naamini atafika mbali ila kwa kutumia nguvu kubwa isiyo na ulazima. Hao wenzake uliowataja media zote bongo wanapigwa kila kukicha bila mizengwe kwa hiyo naweza sema wana privilege kubwa ya kuaminiwa km wataitumia vzr hiyo nafasiKiukweli kwa biashara aliyekuwa anatakiwa kuchukuliwa pale ni aslay au beka!
Nadhani huenda Dogo alikua anaelewana sana na Mkubwa fella ndio Maana akaunganishiwa wcb!
Na hili bifu lao Na media zilizo nyingi ndo wameharibu kabisa!
Hujui kama Redio za mikoani zinafuata upepo wa Clouds? Yaani wimbo ukipigwa Clouds ndo wanaamini kuwa ni mzuri na wao wanaupiga[emoji16][emoji16]Kwahiyo hata redio za mikoani na za dar ni za ruge? mbona ngoma ilipigwa sana redio zote?
Kwahiyo we ndo unajua anaandaa ngoma za aina gani huko?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Wabongo bhana!
We si ndo uliletaga sijui shoo ya aslay na nandy aliyoaanda ruge sijui imefeli!
Punguza chuki mkuu kwa comment zako huwa inaonyesha huenda upo hapo wcb!
Kama yule mwenye sauti kama kameza chura sijui kaishia wapi siku hiziWrite your reply...
Huyu na wenzie walikuwa wanabebwa na aslay!
Inatakiwa wamshukuru sana
[emoji23] [emoji23]Na wewe kwa comments zako inaonyesha una chuki na wcb.
[emoji23] [emoji23]
Tafuta nyuzi za nyumaaa huko ambapo ligi ya wcb na team kiba zilivyokuwa hot ndo utajua!
Kusema ukweli ndo chuki?
Wasinyenyekee ndiyo ila wafanye kazi kwa weledi utakaoepusha migogoro ya kijinga na stake holders.Lakini mbona wanapiga show kila wiki mambo ya kunyenyekea binadamu yashapita muda wake ata wao wanastruggle mashabiki karibu nusu wamekimbia
Hivi wewe si ndo uliyeanza kuniquote?Na mimi kusema ukweli ndio chuki? km vp potezea comment zangu mamako