Kwani msipowataja Clouds mtapata shida gani??..hahaha clouds wanapita kimya kimya hapa
Hasa wale wakipindi cha shilawaduWanamchukia tu Diamond lakini ndani ya mioyo yao nafsi zinawasuta sana
SendOffKuuliza sio ujinga. Ilikuwa ni harusi?
Hivi watu huwa mnaanzaje aanzaje kuwasifia wanaume wenzenu
Na ukihitaji tanzanite zinapatikana Tanzania tu.Pumba kama hizi zinapatikana tanzania tu