ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Jamaa hajui kua hata bando la data ni affordable kwa kila mwenye simu yenye uwezo wa YouTube.Zaidi ya 20m+ ya watanzania wanasimu zenye huduma ya YouTube lakini wewe 24k tu wamekuchanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa hajui kua hata bando la data ni affordable kwa kila mwenye simu yenye uwezo wa YouTube.Zaidi ya 20m+ ya watanzania wanasimu zenye huduma ya YouTube lakini wewe 24k tu wamekuchanganya
😂😂😂 unanifanya niwakumbuke clouds presenters akiwemo Millard ayo diamond hana haja ya kutambulisha ngoma zake kwenye media ni mwendo wa IG na twitterZaid ya watu 24,000/= Jana walikesha kumfatilia Diamond plutnumz.
Hii sio kawaida, hakuna mtu bongo
Hii alishawah kwenda YouTube live na akatizamwa na watu zaid ya elfu kumi.
Ifike wakati media zeny bifu na Huy dogo wakubali tu kwamb dogo moto wake hauzimik na kukubalika kwake na wananchi ni tofauti. View attachment 1149195
N ukwel usio pingika huwa bongo ukiwa na mafanikio unachukiwa waz waz ...jamaa anakomaa kiasi chake wengi wanajifanya hawamfuatilii ila ukwel wanaujua wao jamaa n unstoppableKibongo bongo ni wengi sana... Sijawah ona YouTube channel yyte imeend live na ikapat viewers hat 5k tu.