FACT. media za bongo zinamuhitaji zaid diamond kuliko yeye anovozihitaj

FACT. media za bongo zinamuhitaji zaid diamond kuliko yeye anovozihitaj

Zaidi ya 20m+ ya watanzania wanasimu zenye huduma ya YouTube lakini wewe 24k tu wamekuchanganya
Jamaa hajui kua hata bando la data ni affordable kwa kila mwenye simu yenye uwezo wa YouTube.
 
Zaid ya watu 24,000/= Jana walikesha kumfatilia Diamond plutnumz.
Hii sio kawaida, hakuna mtu bongo
Hii alishawah kwenda YouTube live na akatizamwa na watu zaid ya elfu kumi.
Ifike wakati media zeny bifu na Huy dogo wakubali tu kwamb dogo moto wake hauzimik na kukubalika kwake na wananchi ni tofauti. View attachment 1149195
😂😂😂 unanifanya niwakumbuke clouds presenters akiwemo Millard ayo diamond hana haja ya kutambulisha ngoma zake kwenye media ni mwendo wa IG na twitter
 
Kibongo bongo ni wengi sana... Sijawah ona YouTube channel yyte imeend live na ikapat viewers hat 5k tu.
N ukwel usio pingika huwa bongo ukiwa na mafanikio unachukiwa waz waz ...jamaa anakomaa kiasi chake wengi wanajifanya hawamfuatilii ila ukwel wanaujua wao jamaa n unstoppable
 
"wanangamia kwa kukosa maarifa" hii kauli muasisi wake ni nani ,babu yenu nmesahau asee.
Nataka nwape dedication vijana hopeless
 
Back
Top Bottom