FACT. media za bongo zinamuhitaji zaid diamond kuliko yeye anovozihitaj

Kweli kabisa huyo ndio mfalme wa entertainment tz
 
Kwani msipowataja Clouds mtapata shida gani??..
Mzee baba inaonekana unaipenda Sana clouds ila mtoa mada kaongea ukwel haijalishi upend au unaenda na ile ilikuwa happy birthday tu je ingekuwa harusi ingekuwa?
 
Kwani clouds wao wana maoni gani hasa juu ya hili?
 
EATV hasa akina dulla nao wanasemaje juu ya hilo suala
 
EATV hasa akina dulla nao wanasemaje juu ya hilo suala
Dullar kama Dulla yey yupo poa tu kwa sababu hana tatizo na Diamond. Issue ya Diamond na EATV ni ya kibiashara lakini kama ilivyo ada, kuna baadhi ya watangazaji wetu huwa wanachukulia issue za kibiashara za kampuni zao too personal; as if hizo biashara ni za baba zao wakati wao ni wapita njia! Mcheki mtu kama Sam Missago, kawaachia EATV binafsi bifu lao na Diamondm lakini yeye yupo even!
 
Kwani TZ ina waru wangapi mweeee.....hivi waloangalia hapo ni wa TZ pekee?...CHUMVI CHUMVI TUU..nan akampigie magoti Diamond?..
 
Kibongo kibongo 24k kukuangalia live ni wengi sana... Ukiachan na hzo takwimu zako mkuu.
Weweee kibongobongo ndo nn achana na sisi tuondolee ushenz wako...juz mmetuletea hapa kwamba jamaa sijui ndo anaongoza AFRICA kwa subscription za u tub kwa watu mil 2 wakat kuna akina macj angels huko wana mil 5..tuachiwn upuuz wenu na kajitu kenu
 
aisee nilijua tu huu uzi hauwezi ku-survive bila clouds kumwaga mapovu humu ndani.
 
24k ndo watu wengi??

Hivi mnajielewa kweli.nilitegemea useme labda 500k+ huko
Ungempa na mfano wa msanii wa Bongo ambaye alishafikisha viewers zaidi ya 24k,huyu jamaa bhana,anamsifia Mond wakati kuna watu kama wewe unawafahamu wasanii walompita mbaaaliii hapa Bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…