Fact: Wanawake wengi wanashindwa kulijibu hili swali rahisi

Leo nataka nijue ivo manzi akikupa namba yake anamanisha nini ???kama kukupa namba ni ghali ivi
 
You need to follow procedures ili upate jibu sahihi!
 
hiyo tabia ya kuombaomba namba siipendi kabisa..kama mtu hana business card ni rahisi kukudanganya..ipo siku nimeomba namba kwa mtoto flani malaika hivi.. nikajua chombo nimekiopoa kumbe namba ya monchwari[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hao wanaochukua hyo 1% inayobak ndo akina Miss Natafuta,

thA God thA bubbs!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…