FACTS 11: Kama wanasayansi wangesoma BIBLIA, Technology ya sasa ingekuwa Zamani Sana

FACTS 11: Kama wanasayansi wangesoma BIBLIA, Technology ya sasa ingekuwa Zamani Sana

Biblia imeeleza kila kitu kinachofanywa na wanasayansi kwa sasa ni marudio tu kwani biblia imeshasema hakuna jipya chini ya jua
 
Biblia ndicho kitabu cha kweli kuliko vyote,hata quran ilishushwa na shetani'dajjal' ili kuipinga biblia,najivunia sana biblia
 
Biblia ndicho kitabu cha kweli kuliko vyote,hata quran ilishushwa na shetani'dajjal' ili kuipinga biblia,najivunia sana biblia
Vitabu vyote vinaheshima yake na sehemu yake kwa jamii ya mwanadamu pamoja na faida na utofauti uliopo
 
inakuwa na afya zaidi ukieleza udhaifu wa hoja.
Huwezi mtu ukasema hivi[emoji116] bila kufafanua

Biblia imeeleza kila kitu kinachofanywa na wanasayansi kwa sasa ni marudio tu kwani biblia imeshasema hakuna jipya chini ya jua

[emoji124] any way, endeleeni na thread yenu
 
Hivi biblia imewahi kusema kutakuwa na ndege za pangaboi?
Kutakuwa na upandikizaji wa vichwa?
Kutakuwa na treni maana akina Yesu walipanda punda
Nisaidie kumwita mleta mada
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hivi biblia imewahi kusema kutakuwa na ndege za pangaboi?
Kutakuwa na upandikizaji wa vichwa?
Kutakuwa na treni maana akina Yesu walipanda punda
Nisaidie kumwita mleta mada
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] Nionavyo mimi biblia ndo inaleta vitisho kwa waumini kushindwa kuichunguza dunia.
Maana hao wanaamini kuichunguza kazi ya Mungu ni kumchunguza Mungu pia.
Soma post za @chamilton vizuri alizochangia hapa, alafu utaona bible jinsi inakinzana na science
 
Nimezisoma
Mimi sipendagi tu kwere maana mleta mada "talking loud saying nothing" yaani anaandika maneno mengi halafu pointless
 
Nimezisoma
Mimi sipendagi tu kwere maana mleta mada "talking loud saying nothing" yaani anaandika maneno mengi halafu pointless
Exactly,
Mfano hapo akiulizwa muumini mwingine hayo maswali atajibu tufauti kabisa na yeye
 
This proves thats; kumbe sayansi mnaikubali lakini hamtaki izidi biblia na mnajitahidi kutaka kujitetea kuwa kuna scientific informations kwenye bible.

Ni kweli, bible was the science of old era. Europe history imegawanyika katika eras mbalimbali ikiwemo Dark Ages au kipindi cha dini kutoa explanations za kila kitu, it is called dark ages kwa sababu ya delusions iliyokwepo, Renaissance ambapo science ikaanza kuzaliwa na Enlightenment ambapo science ikaanza kutawala. Hizo eras ni muhimu sana kutokana na upekee wa kila moja. Before, bible na religions nyingi ndio zilikuwa zinaprovide informations kuhusiana na dunia, imetoka wapi, how we were created, kupitia mythology na beliefs n.k then ilipofika age of Enlightenment takribani 1700 ndipo zikatengana baada ya Religious explanations kukataa kubadilika na kutishia execution kwa scientists.

Utengano huo mpaka leo upo na ni kutokana na kuwa religions zinajiona superior na zina elimu ya juu zaidi even when it can't be tested, observed, analyzed and questioned.
 
ONE RESULT OF THE ENLIGHTENMENT NI PALE WATU WALIPOANZA KUSOMA BIBILIA KWA AKILI ZAO NA KUGUNDUA MAMBO KIBAO YALIYOSAIDIA DUNIA.
Namkumbuka mzee mmoja baada ya kusoma zaburi8:8 aliamua kuingia baharini na kuzisaka njia, Na leo dunia inamuenzi kama Father of OCEANOLOGY na "The path finder",
Newton was the product of The age of reasoning. The enlignment and scientific revolution was powered by individual reading of the bible.
 
Kama unavyoeleza ni sawa lakini hiyo hiyo bible ilikuwa inatuaminisha ukiuchunguza sana ulimwengu unakufuru Mungu hapendi (rejea mnara wa babeli) hata kuchelewa kwa technology huwenda ilichangiwa zaidi na bible hiyo hiyo
WORD!.....Yaani mnara wa Babel ulimfanya Mungu ashuke kuja kuzuia ujenzi wake.Huoni kuwa wanasayansi wa zamani(ma engineers na ma Astronauts) walizuiwa na Mungu kufanya tafiti zao?

Hivi kama Mungu alikataza ujenzi wa ule mnara, angeruhusu safari za kwenda Mars kweli?
 
ONE RESULT OF THE ENLIGHTENMENT NI PALE WATU WALIPOANZA KUSOMA BIBILIA KWA AKILI ZAO NA KUGUNDUA MAMBO KIBAO YALIYOSAIDIA DUNIA.
Namkumbuka mzee mmoja baada ya kusoma zaburi8:8 aliamua kuingia baharini na kuzisaka njia, Na leo dunia inamuenzi kama Father of OCEANOLOGY na "The path finder",
Newton was the product of The age of reasoning. The enlignment and scientific revolution was powered by individual reading of the bible.

Kwa sababu walikuwa wanatafuta facts kujua kweli ipo wapi.

Enlightenment ni neno lililotoholewa kutoka Indian Spirituality kumaanisha utambuzi au awakening. Kuamka katika ujinga na delusions.

Pia Msijifanye kusahau wanasayansi walikuwa wanauawa na kuteswa kikatili na kinyama. Why? Mwanadamu mwenye akili timamu huwezi kumfanyia mwenzako hivyo. Ni dalili za ujinga. Tena mapapa na viongozi wa kidini walichangia mauaji makubwa. Kama religions zilikuwa zinauhakika kwanini ziue na kuchoma kama mishkaki wanadamu ambao walionekana wasomi watakaoleta changamoto? And they teach love thy neighbor. Its a shame.

a66b1a7685a71613b3d8dfd107207ae6.jpg

b0456f14d5270852d50823146fcb9ff5.jpg

Michael Servetus - Mwanasayansi wa medicine, sayansi na law.

8c26df029766236628b230cfd483bc3c.jpg

1cb6738e1b84f69997fe59f9841f3cdb.jpg

7b01ed18dc3820371bdf28aa0d8599c3.jpg

5addbf17bf782607fa8a3e8248616243.jpg

Kuchomwa kwa Giordano Bruno.
5f5cb73ccde6c8b997f8c03b39b676da.jpg

d65ce65b545b7a831e6bffc24136e409.jpg

8360e5f9b54ace1ddbb5b40b7bba0da1.jpg

Aliuawa na kuchomwa kama stake mbele ya watu mwaka 1600 kwa maagizo ya papa.

Giordano Bruno supported the Copernican view – the view that the earth orbits the sun, and that the earth is not the center of the universe.

More than this, he held the thoroughly modern view that distant stars are orbited by their own, possibly inhabited, planets. He stated that the universe is infinite in size and has no center.

He was imprisoned for seven years while his trial took place. Eventually the Pope decided that Bruno was a heretic, with the result that he was burned at the stake in Rome. His beliefs about the earth, sun and universe were part of the reasoning behind his death sentence. He was also declared a heretic for his religious views about, for example, the Catholic Mass and the Trinity.

Kuna Archimedes, Antoine Lavoisier, na wengine wengi sana katika list waliuawa na Christianity. Is that what bible says? Shame on those who called themselves christians. Hata hao mapapa nao wanastahili kuchomwa moto kama kweli kuna motoni. Nao ni wanadamu wa kawaida na wajinga kama watu wa kawaida.

Hii ni list ya wanasayansi na philosophers waliochomwa, kunyongwa na kuuawa kikatili kutokana na kuchallenge mitazamo ya bible.

May their souls gets next life safely.

List of people burned as heretics - Wikipedia
 
Narudia tena kuweka list mjisomee wenyewe jinsi christianity (bible followers) ilivyomaliza uhai wa wanasayansi ambao ni binadamu kama sisi na wenye haki ya kuishi.

Inauma sana. Sio siri, sio kujifanya tunasahau na kuleta topic hii ya kusifia bible kuwa ni sayansi. Kama kweli ni hivyo mbona mliwaua waliosema hizo ideas?☠️[emoji53]

ITS A SHAME. [emoji848]

List of people burned as heretics - Wikipedia
 
Mada iliyopo mezani ni batili.Nasema ni batili kwa sababu Bibilia haiendani na sayansi.

Bibilia inasimama juu ya msingi IMANI lakini Sayansi inasimama juu ya msingi UELEWA(FACTS).

Ingawa kwenye Bibilia kuna mambo mengi yaliyokusudiwa kueleweka, lakini kuna mambo mengi mno yaliyokusudiwa kuaminiwa(Yaani wewe amini tu usiulize yanawezekanika vipi, mf: Miujiza ya Yesu)

Sasa Bibilia haiwezi kuendana na Sayansi kwa sababu Sayansi kama tujuwavyo, inatafuta facts kwa kufanya experiment na siyo kuamini.

Kwenye Sayansi lazima ufanye: Observation, Thinking, Hypothesis formulation, TESTING Pamoja na kufanya conclution(hizi ni baadhi ya procedures)

Sasa hebu chukua haya mambo ya kwenye Bibilia halafu oune kama yana match na Sayansi.

1.Uwepo wa Roho na Mapepo, Bibilia inaamini vipo lakini sayansi haiamini kama vipo kwa sababu haviwezi kuwa tested(untested is unscientific).

2.Maisha ya Yesu: Sayansi inataka kutest ni namna gani mtu alizaliwa na mzazi mmoja pekee bila ya kuwepo kwa mbegu za kiume za Baba.Bibilia inatuaminisha kuwa jambo hilo lilitokea kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.Sayansi inataka ku test ni jinsi gani Yesu alifufuka siku tatu baada ya kufa.

3.Miujiza ya Yesu haiwezi kuwa tested kisayansi.Yesu aligeuza maji kuwa Divai,....Hivi kwenye Organic Chemistry unafanyaje conversion ya water to wine?(lazima uingie lab kufanya experiment itakayohusisha testing.Je ukipewa maji kwenye mtungi bila catalyst wala reactant ya aina yoyote, uyageuze kuwa divai itawezekana?)

Kwa maana hiyo Sayansi haiwezi kutokana na Bibilia kwa sababu misingi ya Sayansi haipo kwenye Bibilia.
 
Back
Top Bottom