MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
- Thread starter
-
- #121
Anzisha thread yako Madam huko pia utatueleza unachojua. Maintain The scope of thread.Mleta mada MSEZA MKULU.
Hakuna scientic fact hata moja uliyoithibitisha kwa maandiko yako naona unajihangaisha tu. Jisomee uone maajabu ya kweli...
The Bible, the Quran, and Science
Ahsante sana, Baki na huyo mwingine ambaye ni messi wa sayansi lkn hatuoni wanasayansi wake katika historia zaidi ya Yule mzee wa geomety na algebra ambazo wakina suleiman wa bibilia walishacheza nazo kitambo sana. Pia nasikitika unaleta porojo badala ya detailed scientific explanation.Biblia na sayansi ni vitu tofauti kabisa, "mungu" wa biblia sayansi ilimpiga chenga.
Soma .
..kama ni Predictions upo sawa mkuu ILA innovations siJaona prove Yeyote from the BibleMkuu hapa ukiangalia kwa jicho ta Top- Down technological advancement. Haya yote unayoyaona ni madification of what Happened.
Bible is the sure book to form scientific predictions and innovations.
Kutokana na Concept ya Gharika ya bibilia sasa kuna mambo yafuatayo.
1: Mafuta yanaweza kutengenezwa kwa dakika 20. 1971 Findings Us department of interior Bureau of mines.
2:Converting Sewage sludge into OIL in 30 minutes. Hii ni project iliykuwa funded $22.4 Mil western autralia
3:Unaambiwa Inahitajika miaka 1 -3.3 Billioni ili Diamond/almasi ifanyike, Kampuni iitwayo Lifegerm uk uingereza inatengeneza almasi japo sio pure kabisa kwa majivu ya mpenzi aliyekutoka kama kumbukumbu ndani ya Muda wa Mwezi. Sio mazingaombwe bali ni process hiyohiyo ilitokea wakati wa Gharika la nuhu miaka 4400 iliyopita. Maana maji yalikaa juu ya uso wa nchi kama kwama mzima. Ila kwa sababu unafanya lab unafanya faster zaidi.
Personally siJaona technology
Guglielmo Macorni atakushangaa sana akifufuka maana kazi yake ndio inakufanya uchati hapa JF(EM waves transmission).Ndicho ambacho nimekisema kwenye Mazungumzo ya Ayubu na Mungu. Umeme unasafirisha Sauti (Communication).
The more I work with the powers of Nature, the more I feel God's benevolence to man; the closer I am to the great truth that everything is dependent on the Eternal Creator and Sustainer; the more I feel that the so-called science, I am occupied with, is nothing but an expression of the Supreme Will, which aims at bringing people closer to each other in order to help them better understand and improve themselves.
Guglielmo Marconi
Hapa halazimishwi mtu maana kila mwanadam anafreedom of choice kama wewe ulivyoamua kuamini unachoamini.Unachofanya unalazimisha watu waamini kuwa Bibilia inafaa kutumika kama scientific manual kitu ambacho sii kweli.
Bibilia imesheheni mambo mengi yakutungwa ambayo mengine ni kweli yanawezekanika na mengine hayawezekaniki.Wewe unachukua nusunusu, kwa nini usichukue yote?
Vizuri, ila kwa ufupi waliiona wamekuletea hivyo unavyoviita ni vya BC. Sio lazima kila mtu aone wengine sio vibaya tukibaki kama watumiaji au wapingaji...kama ni Predictions upo sawa mkuu ILA innovations siJaona prove Yeyote from the Bible
Usitutoe kwenye mada mkuu, Soma historia ya Dini yako na Utakutana na vitu vingi Kuhusu hicho unachouliza. Fuatilia dhehebu la kwanza(Islamic Sect) lilitokea kwa sababu gani na nini kilimtokea imam Ali Mwezi wa ramadhani 27 January 661 AD pale msikitini mji wa Kufa.Hivi magaidi mnasema ni waislamu...........hebu mnieleze ni dini gani wanatengeneza makombora na masilaha mazitomazito ya kuua watu?
Wewe nitakuwekea Thread yako mambo ya evolution na ujanja ujanja wao kupotosha UMMA wa wanadunia.Unachofanya unalazimisha watu waamini kuwa Bibilia inafaa kutumika kama scientific manual kitu ambacho sii kweli.
Bibilia imesheheni mambo mengi yakutungwa ambayo mengine ni kweli yanawezekanika na mengine hayawezekaniki.Wewe unachukua nusunusu, kwa nini usichukue yote?
Sema ulichokielewa kwa ufupi madaam, mbona kama una C/P, reduce into simple clear expressions kisha ifungulie thread tuje tujadili huko. Humu sio mashindano ya kidini au nani bora au sio bora hapa ni Biblical explanations vs Scientific predictions and Some scientific accuracy in bible.Foreword
In his objective study of the texts, Maurice Bucaille clears away many preconceived ideas about the Old Testament, the Gospels and the Quran. He tries, in this collection of Writings, to separate what belongs to Revelation from what is the product of error or human interpretation. His study sheds new light on the Holy Scriptures. At the end of a gripping account, he places the Believer before a point of cardinal importance: the continuity of a Revelation emanating from the same God, with modes of expression that differ in the course of time. It leads us to meditate upon those factors which, in our day, should spiritually unite rather than divide-Jews, Christians and Muslims.
As a surgeon, Maurice Bucaille has often been in a situation where he was able to examine not only people's bodies, but their souls. This is how he was struck by the existence of Muslim piety and by aspects of Islam which remain unknown to the vast majority of non-Muslims. In his search for explanations which are otherwise difficult to obtain, he learnt Arabic and studied the Quran. In it, he was surprised to find statements on natural phenomena whose meaning can only be understood through modern scientific knowledge.
He then turned to the question of the authenticity of the writings that constitute the Holy Scriptures of the monotheistic religions. Finally, in the case of the Bible, he proceeded to a confrontation between these writings and scientific data.
The results of his research into the Judeo-Christian Revelation and the Quran are set out in this book.
Inaendelea...
Unaona jinsi ulivyo wa kutangatanga?....unaanza kuleta mambo ya Evolution tena?Wewe nitakuwekea Thread yako mambo ya evolution na ujanja ujanja wao kupotosha UMMA wa wanadunia.
Hakuna kitu kama hicho mkuu, Waislam wamekuwa wa kwaza kuelezea hayo miaka yote kwa jinsi wanavyoona wao. mambo ya Uzazi, Vitu vya medicine na vingine vingi. Tunaweza kuelimishwa pia kwenye thread nyingine. Binafsi ninawasikiliza ha huwa wanapoints zao kudeffend Holy Quran in relation to Science. Huko hatupo kiongoziHapa inachokonolewa QURAN ili ionekane nayo je inasayansi ndani yake? Mada hii tumeshaishtukia kitambo.
Nilikuwa nakukumbusha tu hakuna anayehama. Unatumia nguvu kubwa sana kupingana na facts ambazo hazipingiki. Nilitegemea hadii sasa hivi ungekuwa unachambua Contentz za mada na kuzipinga kwa hoja. Ila karibu unaleta changamoto nzuri.Unaona jinsi ulivyo wa kutangatanga?....unaanza kuleta mambo ya Evolution tena?
Bible haiendani na Sayansi kwa sababu mambo ya kwenye Bibilia hayachunguziki kisayansi.....so Bible is unscientific because most of its contents can't be tested scientifically!
Qur'an 18:86 na 18:90,.....Ebu soma hiyo mistari halafu utuambie maana yake.Weka mistari ya biblia na Qur'an inayoongelea hilo, usilete porojo zako.
Tupo kwenye Sayansi leo Huko kuna mada zake zinajadiliwa kwa kina tu jukwaa la dini. Ingia mwaga sumu yote uliyonayo mkuu.Rudi kwenye mada kama hakuna cha kuongeza au kupinga unasoma comments tu na kulikeUtatu mtakatifu ni uongo nambari moja duniani. Hakuna kitu kama hicho!!!!
Unakubali kwamba Bibilia ina maambo yasiyochunguzika kisayansi?Nilikuwa nakukumbusha tu hakuna anayehama. Unatumia nguvu kubwa sana kupingana na facts ambazo hazipingiki. Nilitegemea hadii sasa hivi ungekuwa unachambua Contentz za mada na kuzipinga kwa hoja. Ila karibu unaleta changamoto nzuri.
VingiUnakubali kwamba Bibilia ina maambo yasiyochunguzika kisayansi?
Yaani Bible imesheheni mambo yasiyochunguzika kisayansi bado unasema Bible inafaa kutumika kama scientific manual?Vingi
1:Jesus walking on water
2: Bikra kuzaa bila Sperm za mwanaume.
3Philipo Kupotea karibu na mto Jordan na kutokezea mji mwingine in a brinking of an eye.
4:Kufufuliwa kwa razalo aliyekuwa kafa kaoza siku tatu
6:Na miujiza mingine Mingi, Hata wewe ulipo hapo unaweza kuwa na Ngoma mfano ukawa scientifically proven na Withing fraction of second Ukapona na dakatari akakupima asikute virusi akazimia kwa mshangao (Taadhali kuna Waongo pia siku hizi).
Vingi tu. Na sio historia hata kesho ukitaka vinakutokea na ubishi wako, Vitu ambavyo option ni Faith in God tu na science can't intervene hata nukta na Unarudishwa kwenye mstari.
Hivi sio tu havichunguziki bali ni kama BONUS kwa Mwanasayansi anayemuamini Mungu au mwanadamu aliyekosa matumaini.
TURUDI KWENYE MADA Tujadili vichache ulivyopewa, Hapa tunazungumzia Vinachochunguzika. Na kuna zaidi ya Scientific facts na predictions 102 katika bibilia mkuu. Mfano tu kwa concept ya fuel formation due to Noah Flood wenda anajua au hajui, Kuna jamaa mwanza alikuwa anatengeneza Mafuta petrol na disel. Bible is everything. I love Bible.
Sio mimi tu, Najua umekosa mwanya wa kupitishia uzushi. Mada inakuhitaji kufikiri wewe unataka kuleta viswali vyako outdated na vinakoswa room hapa jukwaani. Tangu umeanza kuingia hapa Hujajadili chochote kuhusu content ya thread maana wenda zinakuzidi umri na uwezo. Ushauri tu ni kwamba Ni kazi rahisi sana kupinga na kuulizauliza maswali au kuhojihoji kama unavyofanya na jamaa yako maana unatumia sehemu ndogo sana ya Ubongo.Yaani Bible imesheheni mambo yasiyochunguzika kisayansi bado unasema Bible inafaa kutumika kama scientific manual?
Kwa nini hakuna hata muhusika mmoja kwenye Bible aliyegundua technologia yoyote kutoka kwenye Bible?
Kwa nini miujiza haitendeki wakati huu?....Huyo Mungu mnamsifu kwa kutenda miujiza ya miaka 2000-4000 iliyopita ambayo hamkuishuhudia, kwa nini msiwe mnamsifu kwa kutenda miujiza mliyoishuhudia?
Kimsingi hii mada yako haifai kuwepo kwenye jukwaa la Intelligence kwa maana ni mada ya kitoto.Unajitahidi kuishape na kuikokota ili ionekane kama mada ya kiutu uzima lakini inarudi mulemule kuwa mada ya kitoto.Kuendelea kubishana na wewe kwenye hii story ya Juma na Uledi ni kupoteza muda.
WEWE UNAYEIONA BIBLE KAMA SCIENTIFIC MANUAL, ENDELEA KUFANYA HIVYO NA UKIGUNDUA CHOCHOTE KWA KUTUMIA BIBLE UTULETEE MREJESHO.TUKUTANE KWENYE MADA NYINGINE LAKINI SIYO KWENYE HII B.S YAKO!
Sio mimi tu, bibilia ilipofika kijijini kwa bibi yangu mara ya kwanza, kwa kanuni za afya zilizofundishwa na waebrania katika vitabu vya musa. Wao ndio walikuwa wa kwanza kuchemsha maji ya Kunywa kwa hekima za bibilia. Kijiji kizima kikawacheka. Wakaendelea kufa kwa kichocho huku wakidhani ni Uchawi. Leo hiyo kazi inafanywa na serikali sio ushamba kuchemsha maji bali ni Hekima na afya.Yaani Bible imesheheni mambo yasiyochunguzika kisayansi bado unasema Bible inafaa kutumika kama scientific manual?
Kwa nini hakuna hata muhusika mmoja kwenye Bible aliyegundua technologia yoyote kutoka kwenye Bible?
Kwa nini miujiza haitendeki wakati huu?....Huyo Mungu mnamsifu kwa kutenda miujiza ya miaka 2000-4000 iliyopita ambayo hamkuishuhudia, kwa nini msiwe mnamsifu kwa kutenda miujiza mliyoishuhudia?
Kimsingi hii mada yako haifai kuwepo kwenye jukwaa la Intelligence kwa maana ni mada ya kitoto.Unajitahidi kuishape na kuikokota ili ionekane kama mada ya kiutu uzima lakini inarudi mulemule kuwa mada ya kitoto.Kuendelea kubishana na wewe kwenye hii story ya Juma na Uledi ni kupoteza muda.
WEWE UNAYEIONA BIBLE KAMA SCIENTIFIC MANUAL, ENDELEA KUFANYA HIVYO NA UKIGUNDUA CHOCHOTE KWA KUTUMIA BIBLE UTULETEE MREJESHO.TUKUTANE KWENYE MADA NYINGINE LAKINI SIYO KWENYE HII B.S YAKO!
uko sahihi ni msitu mkubwa wenye kila mti wa maarifa. hapa tunajadili mmoja kati ya maelfu. Bible is the sure word of God.hakika Biblia ni neno la Mungu.