Yaani Bible imesheheni mambo yasiyochunguzika kisayansi bado unasema Bible inafaa kutumika kama scientific manual?
Kwa nini hakuna hata muhusika mmoja kwenye Bible aliyegundua technologia yoyote kutoka kwenye Bible?
Kwa nini miujiza haitendeki wakati huu?....Huyo Mungu mnamsifu kwa kutenda miujiza ya miaka 2000-4000 iliyopita ambayo hamkuishuhudia, kwa nini msiwe mnamsifu kwa kutenda miujiza mliyoishuhudia?
Kimsingi hii mada yako haifai kuwepo kwenye jukwaa la Intelligence kwa maana ni mada ya kitoto.Unajitahidi kuishape na kuikokota ili ionekane kama mada ya kiutu uzima lakini inarudi mulemule kuwa mada ya kitoto.Kuendelea kubishana na wewe kwenye hii story ya Juma na Uledi ni kupoteza muda.
WEWE UNAYEIONA BIBLE KAMA SCIENTIFIC MANUAL, ENDELEA KUFANYA HIVYO NA UKIGUNDUA CHOCHOTE KWA KUTUMIA BIBLE UTULETEE MREJESHO.TUKUTANE KWENYE MADA NYINGINE LAKINI SIYO KWENYE HII B.S YAKO!
Sio mimi tu, Najua umekosa mwanya wa kupitishia uzushi. Mada inakuhitaji kufikiri wewe unataka kuleta viswali vyako outdated na vinakoswa room hapa jukwaani. Tangu umeanza kuingia hapa Hujajadili chochote kuhusu content ya thread maana wenda zinakuzidi umri na uwezo. Ushauri tu ni kwamba Ni kazi rahisi sana kupinga na kuulizauliza maswali au kuhojihoji kama unavyofanya na jamaa yako maana unatumia sehemu ndogo sana ya Ubongo.
Utoto huu unaungwa mkono na;
Nicholas Copernicus (1473-1543)
-Copernicus referred sometimes to God in his works, and did not see his system as in conflict with the Bible.
Sir Francis Bacon (1561-1627)
"It is true, that a little philosophy inclineth man’s mind to atheism, but depth in philosophy bringeth men's minds about to religion"
Johannes Kepler (1571-1630)- Aliamini anaweza kupata concepts za trinity katika universe
Galileo Galilei (1564-1642)
Galileo expressly said that the Bible cannot err, and saw his system as an alternate interpretation of the biblical texts.
Rene Descartes (1596-1650)
Rene Descartes and Francis Bacon (1561-1626) are generally regarded as the key figures in the development of scientific methodology.Na huyu alidevelop model ya existence of God.
Blaise Pascal (1623-1662)
Maneno yake wakati anakufa
"May God never abandon me."
Isaac Newton (1642-1727)
Aliamini Mungu yuko nyuma ya kila kila kilichopo katika universe, "The most beautiful system of the sun, planets, and comets, could only proceed from the counsel and dominion of an intelligent and powerful Being."
Robert Boyle (1791-1867)
Alifund mapesa mengi kutafsiri bibilia kwenye lugha za kituruki na kiirish, Hiki ndicho alichokisema kuhusu hizo imani za kigiriki watu wanazozihusudu 'the notion that atheism is a modern invention is a myth'
Michael Faraday (1791-1867)
Bible influenced him to Significantly interpret nature
Gregor Mendel (1822-1884)
William Thomson Kelvin (1824-1907)
Na wengine wengi muda hautoshi.
Albert Einstein (1879-1955)-He wanted to explore how God created this world.
"Science without religion is lame, religion without science is blind."