king of zodiac
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 311
- 432
Mkuu hivi huu ni uchambuzi wa Yericko au ni ripoti ya CIA??
Nani unataka aje kuvamia mfaransa au mrundi.Kama wanazani jeshi letu ni legelege wajalibu kuvamia halafu waone hizo takwim sio sahihi
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Imeandaliwa na wafaransa unasemaje watie mguu au?Aliyeandika upuuzi huu ajaribu kutia mguu nchini ndipo atajua TZ ni ya mwishoni au la. Nchi ambazo masuala ya kijehsi yako surrounded na secrecy, huwezi kusema umefanya utafiti, chanzo cha data zako ni kipi.
somalia ina jeshi imara, bila serikali??
Kama kila kitu unachoona kwenye mtandao ni taarifa unayoiamini, basi kuna siku Rwanda au Malawi watapanga orodha ya majeshi bora utayaamini kama unavyofanya sasa hivi. Hapa unaonyesha uwezo mdogo sana wa kuchambua taarifa na vyanzo vyake. Unatakiwa kukubali na kujifunza kwa hiki.Msumbiji, DRC,Somali na Sudani, you are not serious!Mimi ni muumini wa wa fikra machipuko, huamini kuwa, hakuna upuuzi ulio upuuzi mtuputu, Vijana turuhusu akili zetu zizunguke nyuzi 360, tusijifungie kwenye matawa ya akili zetu, tusidumae katika muono huo huo, Utafiti hupingwa kwa utafiti, kamwe haupingwi na matakwa ya mbongo zetu, niseme wazi, mimi nilipoona taarifa hii nilistuka, kwakuwa akili yangù iliamini kuwa Tz ni ya kwanza Afrika kwakuwa na jeshi imara hasa nikirejea historia ya ukombozi wa kusini mwa jangwa la Sahara na vita vya Uganda, Ninawashangaa kweli tena ninawashangaa kwelikweli wale wote wanaopinga utafiti huu bila kupinga kwa utafiti mbadala, tangu watu waanze kuchangia hapa sijaona mtu akija na utafiti mbadala ili atushawishi kuupinga utafiti huu, Nani anajua ripoti ya JWTZ ya uimara wa jeshi letu? Nani anajua ripoti ya Wizara ya Ulinzi juu ya uimara wa jeshi letu? Nani anayo na atuletee hapa ripoti yoyote mbadala ya uimara wa majeshi ya Afrika? Turuhusu mbongo zetu zitamalaki kwa mapana yote, tusifungwe na mawazo yetu mgando, tujenge tabia ya udadi yakinifu kwa falsafa ya sura tenge!Hivi sisi tunaopinga huu utafiti tunatumia utafiti ama takwimu zipi zinazotambuliwa kitaifa na kimataifa?
Imeandaliwa na wafaransa unasemaje watie mguu au?
Wazungu wajinga sana leo wafaransa wamepigwa halafu wanakuja kutuzushia uongo sisi wakafie mbali huko hatudanganyiki.source of data?...ni france au vibaraka wao? sijasema aliyepublish-Ufaransa wamepublish tu. Kuna mwandishi na publisher....kama nawe unaamini upuuzi huu nakupa pole sana. kwa akili yako somalia inajeshi kuliko JWTZ? jaribu kusumbua akili yako ili upate majibu sahihi
Mkuu wangu nisamehe sana, sijaandika mimi haya,
Hiyo link inaeleza vizuri walioandika hayo!
Mkuu mbona ameweka sourceYericko mwehu kweli bawacha wamekuharibu unaleta umbea wako usiokuwa na maana.
Mkuu akili zako zipo sawasawa au ndo hallucinations hiziWazungu wajinga sana leo wafaransa wamepigwa halafu wanakuja kutuzushia uongo sisi wakafie mbali huko hatudanganyiki.
hata kama,eti DRC na SOMALIA??
siwezi iamini kamwe ripoti mfu kama hii!
>>serikali ya c.ce.m ni legelege lakini kwa upande wa majeshi hatujafika huko hata kidogo!.