Facts: 16 most powerful militaries in Africa

Facts: 16 most powerful militaries in Africa

Ukana Shilungo

nakuunga mkono mkuu,hata mimi namkubali yeriko but kwa hili hapana takwimu zingine hutolewa kiusalama zaidi kwa manufaa ya watu Fulani au nchi fulani,nahisi tz hainunui silaha ndio maana imekuwa hivo.akili za kuambiwa changanya na za kwako

mie pia naunga mkono miaka ya mwanzo baada ya watz kupata uhuru tulikua na jeshi ambalo halikua na silaha za kutosha ila kupitia russia na china tz ilipata silaha nyingi mno hata tunaingia ile vita tulijaa na silaha za nchi hizo mbili
nahis tanzania sio wateja wazuri katika soko la marekani la silaha na ndio maana tumewekwa katika nafasi hiyo na wateja wao wakawa on top of list
 
Last edited by a moderator:
Mbona mnashambulia chanzo cha habari bila kutoa facts?

Hapo hayo majeshi yamepangwa kwa wingi wa silaha na other millitary supplies. Vifaru,manowari na ndege za kivita!

Sasa kuwa na jeshi imara kimapigano haitegemeani na wingi wa silaha na vifaa vya kijeshi. Tujiulize sisi tuna vifaa kiasi gani kulinganisha na hao wengine

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums

Kwahiyo south Sudan wana kit nzuri kuliko tz eeh?
 
Kauxha xoja ivi kwa kaz unayoifanya unaona unalipwa vzr mizinguo 2 xema nani amfunge paka kengere
 
Mnaleta siasa majexhini uimara niwatu ,ujuzi na itimamu vifaa unaweza kuwa navyo ukashindw kivioparate
 
wangeweka na vigezo vya kushinda mission mbali mbali, lkn hao wanaonenkana kuwa wana majeshi imara wanasumbuliwa kila siku na vikundi vya wanamgambo, sisi tunaweza kusema tumeweza kushinda kwenye mission mbalimbali kama uganda, commoro, DRC , nk....yaani huu ni uongo uliopitiliza DRC wamewashindwa M23 mpaka sisi tumeenda tukamaliza huo upuuzi kwa muda wa week tu!.....WE DONT HAVE NUCLEAR BUT WE HAVE SPIRIT!
And those are our strengths- spirit, tactics and focused.
 
Boko Haram ya 5 maana kama imeweza kumchapa Mnigeria bas ichukue nafasi yake
 
dont play with Tanzania people defencing force,its contribution in african peace keeping is immeasurable.
watanzania ifike mahali tujivunie vyakwetu.
 
Tatizo ilo ni jeshi la ccm linajua kupigana na mwananchi tuu.cheki wenzenu nigeria,congo e.t.c kila siku wana misukosuko na magaidi..
Kwani hao magaidi siyo wananchi???????????????????????
 
Tanzania vp mbna naskia jeshi letu lnalindga aman nchi zngne sasa tunalinda au tunalindwa??
 
toka lini . Algeria – ikawa na libya wakawa na wanajeshi weusi picha zenyewe fake
 
Haya matusi sasa...yaani Tanzania inazidiwa hata na South Sudan?!!!!
Nimeshangazwa sana na hizi taarifa; yaani unaweka Jeshi la DRC, Libya, Sudan, South Sudan, Uganda, na Kenya Hulu ukiliweka kando JWTZ!

It is ridiculous, JWTZ ni Jeshi lenye ujuzi, uzoefu na nidhamu ya hali ya juu kuliko majeshi yote yaliyotajwa (labda) ukiondia Algeria na Misri.

JWTZ ilishiriki kikamilifu kuisaidia Msumbiji katika vita vya wenyewe. JWTZ ilivifundisha vikosi vya wapigania Uhuru wa Afrika Kusini. JWTZ ilisaidia kuzima mapunduzi dhidi ya Rais Albert Rene huko Sychelles. JWTZ ilimtimua Kanali Bakari huko Commoro kwa siku chache bila kupoteza askari hata mmoja. JWTZ ilimpiga Idd Amin wa Uganda pamoja na mshirika wake Libya 1978/79. JWTZ imeshiriki UN peace missions huko Sudan, na Lebanon.

Kuweka Majeshi ya Nigeria yaliyohangaishwa na Boko Haram, Kenya yanaliyosumbuliwa na kikundi cha Alshaabab, Jeshi la Libya ya Ghaddafi, Jeshi la Uganda amvalo limefundishwa kila kitu na JWTZ na Jeshi la Ethiopia walipelekeshwa na Eritrea, ni kutolitendea haki JWTZ.

Vv
 
Inawezekana JW wana mafunzo mazuri ya mbinu za medani lakini zana zao za kivita bado haziwafanyi kuwekwa katika kiwango cha kuitwa jeshi la kisasa. Ubora wa jeshi lazima uendane na zana za vita za kisasa, sijasema mpya ila 21st century gear of war. Type 59G, BM21, F-7G aka MIG 21, Shaanxi Y-8 etc etc hizi ni silaha ziliundwa miaka ya 1960s zilishawekwa museum, angalao zinunuliwe zana mpya kidogo mfano Type 96G tanks, A300 MLRS, Shaanxi Y-9, J-10 fighter jets, Z-9W copters na nyingine nyingi tu.

KENYA
Kenya ZW-9.jpg


UGANDA
Uganda SU-30.jpg


RWANDA
Rwanda Mi-24 Hind.jpg
 
Hapa vigezo ni nchi zenye migogoro nini!!!
 
Back
Top Bottom