sajumo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,834
- 1,055
Ukana Shilungo
nakuunga mkono mkuu,hata mimi namkubali yeriko but kwa hili hapana takwimu zingine hutolewa kiusalama zaidi kwa manufaa ya watu Fulani au nchi fulani,nahisi tz hainunui silaha ndio maana imekuwa hivo.akili za kuambiwa changanya na za kwako
mie pia naunga mkono miaka ya mwanzo baada ya watz kupata uhuru tulikua na jeshi ambalo halikua na silaha za kutosha ila kupitia russia na china tz ilipata silaha nyingi mno hata tunaingia ile vita tulijaa na silaha za nchi hizo mbili
nahis tanzania sio wateja wazuri katika soko la marekani la silaha na ndio maana tumewekwa katika nafasi hiyo na wateja wao wakawa on top of list
Last edited by a moderator: