Facts about quiet people

Facts about quiet people

Dit000

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
710
Reaction score
1,041
1.they are too much hunger,don't get them pissed off.

2.they never show their pain or how depressed they are.

3.they are shy and can not maintain eye contact.

4.they are loyal and love most in relationships

5.they are Smart in everything they do.

6.they are talkative arround the right people.

7.they like being alone.

Ongezea point zingine.
 
Sijui kingee ila rekebisha hiyo namba moja.
 
Hawa watu ni dhahabu lakini kwa wanawake wapumbavu uwaona ni mafala wanawapanda juu,wakiamua kuacha Huwa wanaacha jumla hawarudi nyuma hata uje na mafuta ya kawe wakishaamua kumove on baada ya kuvumilia sana maumivu toka kwa wanawake wapumbavu.
Mwanamke ukimpata mwanaume mpole hio ni dhahabu usimdharau,mnyanyase uvumilivu ukifika mwisho wakifunga mlango haufunguliwi Tena Kama wa ndege hta uje na mafuta ya kawe ndo imetoka kwako hio.
 
Upo sahihi.

Wakati nikiwa young kiddo hiyo namba 3 ilinipa tabu sana, ila nature ya dunia yetu ilinifundisha kui master... Nowadays ukijaribu kulazimisha eye contact wewe ndio utakimbiza jicho!
 
9. Wanapenda kuvuta bangi, pombe ila hawalewi, kuvuta sigara na hautojua maisha yako yote.

10. Wanajua kulalamika hasa wakiwa wanatongoza demu lazima demu akubali tu na ata.t.o.m.b.w.a kisawa sawa.

11. Wanajua kujali, kuthamini, kufariji, wakarimu, wanyenyekevu, hawanaga jambo dogo.

12. Ukutane na mpole halafu mlokole daaaah utapenda ni shetani mtupu 😀😀😀
 
1.they are too much hunger,don't get them pissed off.

2.they never show their pain or how depressed they are.

3.they are shy and can not maintain eye contact.

4.they are loyal and love most in relationships

5.they are Smart in everything they do.

6.they are talkative arround the right people.

7.they like being alone.

Ongezea point zingine.
Hakuna kitu kwa wakimya ni mtego uo
 
Back
Top Bottom