Nilikuwa naenda kumuuliza hili swali, umeniwahi mkuuOyaa mtoa mada Ben Saanane ulimpeleka wapi?
tafakar upyaInahitaji uwe mtu wa reasoning kumuelewa mtoa maada, binafs haiingii akilini et Mdee kakurupuka Tu kwenda kuapa , inaniwia vigumu kukubali na ndo mana najipa mda kuangalia hii show inakwendaje , Mdee ametoa warning kubwa , yeye sio fala na cheap labour kwamba mwenyekiti anaweza mtoa kafara kizembe , inavyoonekana show nzima mbowe anaijua , Mdee na Mbowe ni high command wa chama...
Mkuu wee bado unawaza uchaguzi? Sasa hivi yuko kwenye mnyukano wa halima na DJ aikael mboweHistoria ya Mdee inasema amekuwa Chadema kwa karibia miaka kumi na sita, sasa kama TISS walimuwahi kabla hajaemda Chadema ina maana walimpata akiwa mtoto, kwa hii TISS yetu inavyofanya mambo yake na organisation yake mfano kwenye madudu ya ule Uchaguzi Mkuu uliopita I doubt kama wana uwezo huo wa kumuweka mtu kwenye chama kingine mapema hivyo.
Hata alichoandika hakielewekiUpuuzi tu kwanzia uliowataja nawe mleta mada
Mkuu, jaribu kupunguza kidogo ukali wa manenoHamna cha Ujasusi wala nini, hawa ni malaya tu wa kisiasa
Oyaa mtoa mada Ben Saanane ulimpeleka wapi?