Ndugu zangu watanzania awali ya yote nimshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa kutupa pumzi kama Taifa Leo tupo hakika ni utukufu kwake. Awali ya yote niwausie na kuwashauri vijana wa SASA badala yakupenda bongo flavor na mambo ya dunia ni muda SASA yatupasa kufungua macho nakuanza kusoma historia ya Taifa letu kule tunatoka na kule tunaelekea. Kiukweli kabisa Mimi ni muumini wa kusoma majarida vitabu na hasa mambo ya usalama katika Taifa Langu na dunia.
Ninapo soma agents kama mossad, CIA na M16 ni dhahiri shahiri napata mwanga wakile kinaendelea ndani ya Taifa Langu na hata kama ukinificha najuwa kwasababu Nina reference nyingi kutoka mataifa mengine yalio pita hali kama yetu.
Tuseme ukweli tuna safari ndefu Kuwa na vyama imara vya kisiasa vinavyo weza kusimama nakusema kweli vipo Kwa masilahi ya wananchi Kwa 100%.
Niukweli usio pingika Taifa Langu sio lakwanza Kuwa na Aina ya siasa kama hizi tuna Ziona SASA tofauti yetu na nchi za dunia ya Kwanza nikuwa wao Wana Taasisi zilizo komaa ktk mambo yakisiasa na wala sio vyama vilivyo komaa ktk siasa au mtu. Hapa namanisha na uwenda ningemnukuu Hayati Jerry Rawlings Rais wa Ghana ambaye anasifika Sana Kwa Kuwa Rais alie ongoza Taifa lake Kuwa na demokrasia ya kweli. Ktk moja ya maongez yake na hivi majuzi baada ya kufa yamekuwa yakirudia ni ule msemo alisema
"Tunahitaji kuwa na taasisi pamoja na Sheria ambazo hata ukimweka shetani pale atawale hawezi kwenda nje ya utaratibu na akienda system inamtema"
Tuseme ukweli kabisa kile kimetokea ktk uchaguz mkuu mwaka huu na kile kina endelea ambapo kila MTU anafumba mdomo sio kitu cha kushangaza Kwa maghiji wa mambo ya kiusalama Ila sio Mimi?
Hii ni conspiracy. Naomba mkasome what is consipiracy? Ndio mtanielewa.
Upo uwezekano mkubwa Chadema nje ni chama cha siasa Ila Chadema in deep state ni chama chenye mzizi mrefu mpaka chamwino au taasisi nyeti.
Ama upo uwezekano wakuu wa chama hiki Kwa aiba ya michezo Yao taasisi nyeti ili watumia Ka pach Ka watoto wakike tena wa kutokea kule kasikazin ili siku moja wawamalize. Hii ni michezo yakawaida Sana ktk Nyanja za Usalama ndio maana some of very smart urgent huwa wanamuuwa mpenz wake kuepuka mtego wakuwaiwa.
Kitu kingine upo uwezekano Kwa asilimia Mia Mh Mbowe na kamati yake wanajuwa kila kitu Ila kuficha uhusika Wana jitoa na kukana Yale yametokea Ila amini usiamini they are one team.
Ikumbukwe government agent mara nyingi kiusalama hawapendi kutambuwana same building but different department with same leader but different command.
Haya yalio tokea yanasiri ambayo itachukua muda kuyajuwa Ila ukweli nikwamba ukifuwatilia Yana national interest our question why this time and not28/10/2020.
Nina Imani Kwa macho yakawaida Halima ni Chadema kindaki ndaki Ila Kwa ndani ni jasusi alie kwiva na mkimzinguwa anamfuwata Lissu. Ndio maana hakuna mahali atapewa zawadi afanye hayo amefanya maana kama ni MTU wao wanapokea order kutoka Kwa team leader hawawezi pinga ndio maana usishangae kuona Chadema wanaendeshwa kama remote.
Hii ni nadharia yakile kimetokea base on different documentary and books. Hivyo jiongeze kusoma ujuwe dunia.