Kama ndivyo ilikuaje basi Ndugai amshambulie Mbowe? Baada ya muda ukweli utakuwa wazi.Inahitaji uwe mtu wa reasoning kumuelewa mtoa maada, binafs haiingii akilini et Mdee kakurupuka Tu kwenda kuapa , inaniwia vigumu kukubali na ndo mana najipa mda kuangalia hii show inakwendaje..
Na wewe jiongeze. Kama Serikali na ccm walimsndwa Mh Mbowe Halima ndiye atamuweza??Mkuu wee bado unawaza uchaguzi? Sasa hivi yuko kwenye mnyukano wa halima na DJ aikael mbowe
We umeielewa?Thd yako haiwezi kueleweka na mtu wa kawaida.
Ni ushamba wa kizamani sana unao dumaza fikra na kudidimiza ongezeko la taifa la vijana nguvu kazi lenye ubunifuAnajiona mjanja sana hasa kwa kutaja FBI,CIA,MOSAD
Ona nae huyu anasapoti ukafwafwa uonekane ni facts kwa logical fallacy ya SNOAB APPROACHInahitaji uwe mtu wa reasoning kumuelewa mtoa maada, binafs haiingii akilini et Mdee kakurupuka Tu kwenda kuapa , inaniwia vigumu kukubali na ndo mana najipa mda kuangalia hii show inakwendaje , Mdee ametoa warning kubwa...
Bado sana kwa tanzania kusema tuna idara ya kijasusi kwa manufaa ya nchi, labda kama maaskari wapelelezi ndio wameamua kuwaita hivyoKila mtu TAnzania anadhani kila mtu anaipenda serikali na kuitumikia kwa usenge wa "ujasusi"
Matako ya ujasusi,hata ningekua na vipaji kiasi gani hawa matakor wakanitaka ni-join that nonsense ningewatemea mate usoni wazi wazi...
Wabongo tumesha pigwa juju na kile kibataliNi ushamba wa kizamani sana unao dumaza fikra na kudidimiza ongezeko la taifa la vijana nguvu kazi lenye ubunifu
Huwezi kuwakuta israel wanajifunza mbinu alizotumia nyerere kumpiga iddi amini ni kwasababu wamekataa kutumika ki fikra wanataka kutengeneza vya kwao
Hujui unachozungumza. Kama mtongozo ulianza 2010 ?Historia ya Mdee inasema amekuwa Chadema kwa karibia miaka kumi na sita, sasa kama TISS walimuwahi kabla hajaemda Chadema ina maana walimpata akiwa mtoto, kwa hii TISS yetu inavyofanya mambo yake na organisation yake mfano kwenye madudu ya ule Uchaguzi Mkuu uliopita I doubt kama wana uwezo huo wa kumuweka mtu kwenye chama kingine mapema hivyo.
Wazazi wake ni waajiriwa wa UDSM na amekulia pale. Hao watu UDSM ndio uti wao wa mgongoHistoria ya Mdee inasema amekuwa Chadema kwa karibia miaka kumi na sita, sasa kama TISS walimuwahi kabla hajaemda Chadema ina maana walimpata akiwa mtoto, kwa hii TISS yetu inavyofanya mambo yake na organisation yake mfano kwenye madudu ya ule Uchaguzi Mkuu uliopita I doubt kama wana uwezo huo wa kumuweka mtu kwenye chama kingine mapema hivyo.
Sikiliza ndugu huenda Mbowe na Halima walikuwa kwenye vikao vya pombe wakapeana maelekezo Covid-19 iundwe na ikaapishwe Garage lkn ukweli nikwamba Chama kina taratibu zake zilifuatwa? kama hazikufuatwa ni ujinga kujadili MboweInahitaji uwe mtu wa reasoning kumuelewa mtoa maada, binafs haiingii akilini et Mdee kakurupuka Tu kwenda kuapa , inaniwia vigumu kukubali na ndo mana najipa mda kuangalia hii show inakwendaje , Mdee ametoa warning kubwa , yeye sio fala na cheap labour kwamba mwenyekiti anaweza mtoa kafara kizembe , inavyoonekana show nzima mbowe anaijua , Mdee na Mbowe ni high command wa chama.
Kama walivyoelewana (huenda) Mdee amemkumbusha Mbowe kushughulikia hyo issue na kuweka mambo Sawa .... Mbowe anaonekana kulega lega na hii issue inamchafua Mdee anaonekana snitch, hivyo naona kama amemkumbusha kwamba wao ni ofisi moja asibabaishwe na temper za watoto akina mnyika , lakn akilegea kutimiza majukumu yake Mdee atamwaga ugali , lakn hataki kufanya hivyo wakat upande wa pili umeonyesha udhaifu mkubwa .....ila Mbowe akizembea basi watavuana nguo
Mdee ana reason na somehow ana hekima ....
Kuna neno gani kali hapo?Mkuu, jaribu kupunguza kidogo ukali wa maneno