Facts Muhimu kuhusu WCB

U tried the best mkuu safi!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukuyu hawalimi mpunga mkuu wangu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Tetema ina views 39m, Nyegezi ilifungiwa so haipo kwenye acc ya Vanny wala Mondi, ila ni km 9m views kwa hawa local you tubers, Kwangaru ina 60m views

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niambie msanii yupi anatamba East Africa wa THT?
Mdogo wangu usiwe mbishi na muziki pengine umeanza kuujulia WCB

Ruge chini ya smooth vibes ndo imemtoa Ray C na Lady Jay Dee..wote hawa walikuwa watangazaji tu

THT ndo imemtoa Linah, Recho, Maunda Zorro, Mwasiti, Ruby, Nandy, Jolie, Maua sama .. sasa ukisema EA hawajulikani ntakushangaa

Hao wakina Ruge ndo walimtoa Mb Dog, Marlaw ambao Reign zao zilikuwa epic EA yote

Hata Diamond ana mkono wa Ruge yaani kiufupi.. Ruge na Diamond ni watu wawili incomparable. Mahaba yasikuzidi tu
 
Tabata sehem gani.
Tabata kubwa saana. Au anakaa chang'ombe karibu na kingkiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwakweli Rayvan amepoteza focus hapo nmekuelewa sana mkuu kudos

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni uchawi. Focus gani. Tetema ilikuwa nominated among best Africa, pitia EP yake sikiliza Teamo na Mama la mama kwa utulivu, kisha kapitie Album mzima ya Harmonize utagundua kitu.

Sio mwombaji wa mabaya ila album hii ya Harmonize imekuja kuwa na negative effects nyingi sana katika mziki wake. Kuna kosa kubwa ambalo management yake imelifanya, Wanapupa ya kumchuma Harmonize ktk kipindi hiki kabla hajashuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msanii akishakuwa na Albam tu ni CV tosha masanja mkandamizaji ni msaanii kuzidi fayvan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msanii akishakuwa na Albam tu ni CV tosha masanja mkandamizaji ni msaanii kuzidi fayvan

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi ujanielewa. Nimekutuma kuangazia quality. Kama alikusudia ili mradi album ni sawa. Hivi ushangai video ya kwanza ambayo yeye aliamini atahit ina views 947k hii ni wiki ya tatu. Hakuna wimbo hit hata mmoja mtaani.

Kuwa na CV ni vizuri lakini kuwa na decorated CV ni vizuri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na Huyo Dogo jobless , anaishi kwa shemeji Yake amejulia mziki kwa WCB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"una guu la bia wala huna fito, chuchu za kunitoa majicho
Hata uvae gunia bado upo simpo umeniweza"

"Shepu sinia kiuno kijiko, chumbani wanipa madiko diko......"

Dah! Rayvanny burudani sana
Utakuwa unaufaham mziki. Inapokuja issue ya muziki Rayvanny ni raw talent kulinganisha na Harmonize huyu ambae hata sokoni aliingia kwa sauti ya Chibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa mtazamo wangu, kitu nnachokiona kwa harmonize, ni kweli ni msanii mzuri sana yani mmoja ya wasanii ambao nikisikia tu katoa nyimbo mbio ninayo mana ana radha fulani hivi ambayo inanikuna mmmmmno. Ila toka atoke WCB kwanza ni kama vile yuko kwenye mbio za kutaka kuprove watu hasa wa wcb kwamba he is still the best, so in that case naona kama anatumia hela nyingi mno kutaka kushindani kuliko kile anachoingiza. I hope it ends well with him, i real do, sitaki kuja kuona yale ya mavoko yanatokea kwake. Mwenzie diamond hakufika hapo alipo kwa kukurupuka it took a lot of hard work and sacrifice, and lucky too
 
Harmonize anapaswa kutuliza kichwa...
Asitungetunge nyimbo ilimradi awe na manyimbo mengi....

Anapaswa kutupa mashairi ya maana, yenye kusikilizika.....

Vilevile azingatie beat, beat kali, nyali yaani ngangari...
Mzee wa kolabo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…