Facts Muhimu kuhusu WCB

Facts Muhimu kuhusu WCB

U tried the best mkuu safi!
1.Kuna wanaolalamika eti madogo pale WCB wanalaliwa na Mondi, naomba mjue kwamba WCB ni biashara ya Mondi so yupo pale kumake hela kupitia akina Rayvanny, Mbosso, Lavalava, Tale, Sallam, Laizer n.k, kwa maana nyingine WCB ni mali ya Mondi so ndo kitega uchumi chake kile.

2.Watu wanamsema Harmonize kwamba ameishiwa, kufikisha views 1m you tube imekuwa mbinde, ambacho hukijui ni kwamba ukiwa Wasafi automatic mashabiki wa Mondi wote ni wa kwako, so wanaokushabikia sio kweli kwamba ni mashabiki wako pekee wapo pia wa Mondi na WCB kiujumla, so unapotoka WCB sasa ndo unaanza kutengeneza mashabiki wako, na automatic mashabiki wa Mondi na WCB watakuwa against wewe, ndo kipindi ambacho anapitia Harmonize, hata hivyo bado anajitahid sana, Kumbuka Mavoko baada ya kutoka kilitokea nini? Itakuwaje siku akiaamua kutoka Lavalava nadhani itabidi akafanye kilimo tu.

3.Diamond platnumz ni mjanja sana na tayari amefikia level ya kutoshuka tena labda aamue tu kuacha mziki na bado atakapoamua kurudi atatikisa tena, ni kama Mzee Yusuph kwenye taarabu, tangu aache taarabu pengo lake linaonekana na mziki wa taarabu unammiss siku atajayeamua kurud ataanzia pale alipoishia kwenda juu kamwe hawezi kuwa chini ya pale.

4.Harmonize, Yes huyu jamaa ndo definition halisi ya kijana mpambanaji, dogo alijipanga muda mrefu sana kufanya kitu chake tangu akiwa ndani ya WCB, pale Wasafi ni kama alikuwa shuleni na ile kupata bahati ya kuwa karibu na Mondi ni kama alipata nafasi ya kuwa karibu na El chapo na huku ukiwa na ndoto ya biashara ya mihadarati, unachokifanya ni kuandaa note book kubwa na kuandika kila kitu, then baadae unajisomea na kufanya utekelezaji

5.Diamond anammiss Harmonize, hakuna msanii kama Harmonize Wasafi, ule ndo ulikuwa usajili bora na nachelea kusema unaweza ndo ukawa usajili bora zaidi kt historia ya Wasafi, Nyimbo alizoimba Mondi na Harmo zimesafiri umbali mrefu sana kuliko collable yoyote east africa, Harmo alimbeba Mondi ndani yake, alipokuwepo Harmo hapakuwa na sababu sana Mondi awepo.

6.Rayvanny, This guy is multi-talented hakuna ubishi juu ya hilo, anaimba, anatunga, anarap, ana vocal kali sana lakin kuna kitu anakosa, Focus... katika miaka hii michache ni kama tayari amemaliza kutoa kila kitu alichokuwa nacho, anaimba muziki ambao ukiusikia utakimbilia kuudownload lakin kesho jioni ndo utakuwa wa kwanza kuufuta, amelimbilia kujijenga kibiashara zaidi kabla ya kujijenga kimuziki, Hapa ndo Mond anapowin, kabla ya kuubadilisha muziki kuwa biashara na kuleta janja janja zake alianza kwa kufanya muziki kwanza, watu wakapenda muziki wake then alipoanza kuleta ujanja ujanja tayari alikuwa na mashabiki wengi so si rahisi kumkimbia tena, unataka kujua utofauti wa muziki mzuri na muziki biashara kwa mondi simple nenda kasikilize Mbagala, Moyo wangu, Nitarejea, utanipendaga na uje usikilize Baba lao, Jeje n.k. Harmo amelielewa hilo ndo maana kwenye album yake kuna muziki mzuri kwa wingi kuliko muziki biashara, jamaa amepata kitu kwa Mondi, tena sana, Rayvanny akitoka wasafi leo baada ya miezi 6 mtamkuta Tukuyu analima mpunga

7.Lazima ujue WCB kwasasa ni bonge la Platform, mtu yoyote akiwa pale ataonekana na kusikika, unadhan Lavalava ana ukali sana kuliko Jux, Ben pol, Marioo.. lakin dogo anasikika sana eti, Ni Wasafi hiyo inawabeba

8.Mbosso, Yes huyu dogo ana kitu, hataki janja janja yeye anataka kufanya mziki, baada ya miaka mitano huyu dogo tumuangalie mwa jicho la 3 anaweza kufika mbali, japo mziki wake ni kama anatarget sana wanawake lakin ana kitu fulan kipo, na mimi nadhan bado Mbosso ana kitu zaidi tunamdai, hajatupatia bado.. ila kitendo cha kuwa Wasafi ambayo ni biashara ya Mondi anaweza akajikuta anabanwa na kutotoa baadhi ya vitu, lakin Yes mbosso tuendelee kumtazama..

Naomba niishie hapo.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Tukuyu hawalimi mpunga mkuu wangu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui umefanyia wapi huu utafiti. [emoji81]
Ngoma alizofanya na Rayvanny ndio zimeenda sana zina ma viewers wengi mfano Tetema, na Nyegezi hiyo Kwangwaru hata haifiki.

Japo Harmonize wakati wake ulishafika wa kujitanua zaidi, wamemtoa ili wapumbavu waone hayupo tena na Simba.
Mkuu Tetema ina views 39m, Nyegezi ilifungiwa so haipo kwenye acc ya Vanny wala Mondi, ila ni km 9m views kwa hawa local you tubers, Kwangaru ina 60m views

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niambie msanii yupi anatamba East Africa wa THT?
Mdogo wangu usiwe mbishi na muziki pengine umeanza kuujulia WCB

Ruge chini ya smooth vibes ndo imemtoa Ray C na Lady Jay Dee..wote hawa walikuwa watangazaji tu

THT ndo imemtoa Linah, Recho, Maunda Zorro, Mwasiti, Ruby, Nandy, Jolie, Maua sama .. sasa ukisema EA hawajulikani ntakushangaa

Hao wakina Ruge ndo walimtoa Mb Dog, Marlaw ambao Reign zao zilikuwa epic EA yote

Hata Diamond ana mkono wa Ruge yaani kiufupi.. Ruge na Diamond ni watu wawili incomparable. Mahaba yasikuzidi tu
 
We mjinga Sana Huyo Rayvan anaishi Tabata ninamjua fika, na last week ameshindwa kulipa Kodi na soon anaweza kufukuzwa... Hizi sio story ni Hali halisi panda daladala nenda tabata kaulize uoneshwe kwake halafu uliza Madalali wa hayo maeneo.

Yani unakuja kupima mafanikio ya muziki wa rayvan kwa kumiliki Prado ambalo sio hela Yake iliyonunua. Unapima uwezo wake kwa kujazia watu petrol... Asikudanganye mtu kijana wasanii wa Wasafi hususani Rayvan ana njaa kali mno. Mwaka Jana yule demu wake alishindwa kutoa mchango wa harusi ya ndugu Yake aliyoahidi yeye na Rayvan ... Niishie hapa sitaki nimwage mengi hadharani kwa kukufurahisha wewe poyoyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tabata sehem gani.
Tabata kubwa saana. Au anakaa chang'ombe karibu na kingkiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwakweli Rayvan amepoteza focus hapo nmekuelewa sana mkuu kudos

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni uchawi. Focus gani. Tetema ilikuwa nominated among best Africa, pitia EP yake sikiliza Teamo na Mama la mama kwa utulivu, kisha kapitie Album mzima ya Harmonize utagundua kitu.

Sio mwombaji wa mabaya ila album hii ya Harmonize imekuja kuwa na negative effects nyingi sana katika mziki wake. Kuna kosa kubwa ambalo management yake imelifanya, Wanapupa ya kumchuma Harmonize ktk kipindi hiki kabla hajashuka.

msanii akishakuwa na Albam tu ni CV tosha masanja mkandamizaji ni msaanii kuzidi fayvan

Nahisi ujanielewa. Nimekutuma kuangazia quality. Kama alikusudia ili mradi album ni sawa. Hivi ushangai video ya kwanza ambayo yeye aliamini atahit ina views 947k hii ni wiki ya tatu. Hakuna wimbo hit hata mmoja mtaani.

Kuwa na CV ni vizuri lakini kuwa na decorated CV ni vizuri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu usiwe mbishi na muziki pengine umeanza kuujulia WCB

Ruge chini ya smooth vibes ndo imemtoa Ray C na Lady Jay Dee..wote hawa walikuwa watangazaji tu

THT ndo imemtoa Linah, Recho, Maunda Zorro, Mwasiti, Ruby, Nandy, Jolie, Maua sama .. sasa ukisema EA hawajulikani ntakushangaa

Hao wakina Ruge ndo walimtoa Mb Dog, Marlaw ambao Reign zao zilikuwa epic EA yote

Hata Diamond ana mkono wa Ruge yaani kiufupi.. Ruge na Diamond ni watu wawili incomparable. Mahaba yasikuzidi tu
Achana na Huyo Dogo jobless , anaishi kwa shemeji Yake amejulia mziki kwa WCB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"una guu la bia wala huna fito, chuchu za kunitoa majicho
Hata uvae gunia bado upo simpo umeniweza"

"Shepu sinia kiuno kijiko, chumbani wanipa madiko diko......"

Dah! Rayvanny burudani sana
Utakuwa unaufaham mziki. Inapokuja issue ya muziki Rayvanny ni raw talent kulinganisha na Harmonize huyu ambae hata sokoni aliingia kwa sauti ya Chibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa mtazamo wangu, kitu nnachokiona kwa harmonize, ni kweli ni msanii mzuri sana yani mmoja ya wasanii ambao nikisikia tu katoa nyimbo mbio ninayo mana ana radha fulani hivi ambayo inanikuna mmmmmno. Ila toka atoke WCB kwanza ni kama vile yuko kwenye mbio za kutaka kuprove watu hasa wa wcb kwamba he is still the best, so in that case naona kama anatumia hela nyingi mno kutaka kushindani kuliko kile anachoingiza. I hope it ends well with him, i real do, sitaki kuja kuona yale ya mavoko yanatokea kwake. Mwenzie diamond hakufika hapo alipo kwa kukurupuka it took a lot of hard work and sacrifice, and lucky too
 
Harmonize anapaswa kutuliza kichwa...
Asitungetunge nyimbo ilimradi awe na manyimbo mengi....

Anapaswa kutupa mashairi ya maana, yenye kusikilizika.....

Vilevile azingatie beat, beat kali, nyali yaani ngangari...
Mzee wa kolabo
 
Back
Top Bottom