Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Hivi vitoto hivi ,bhana unatoa fact wewe nani? ,research umefanya wapi, tulieni nyie vitoto shukuruni mungu kuna vyuo vikuu vingi!,wengine mngeenda diploma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani wale wenye ufaulu mzuri 4m6 ndo wanaenda SUA,UDSM,MZUMBE
Wale vilaza waliobahatisha ndo wanaenda SAUT,TUMAINI,ST.JOHN
Na vyuo vingine vya private najua mtachukia
![]()
- :yield:
2013 TWENZETU
HAYA NDIO MADHARA YA WATU AMBAO HAWAKUTARAJIA KWENYE MAISHA YAO KAMA WATASOMA VYUO VIKUU ,WAKAENDA VYUO VIKUU,, HEBU LETE TAFSIRI YA NENO KILAZA NI NANI? NA UNA UHAKIKA GANI KWAMBA WANAOSOMA SAUT,TUMAINI ,ST.JOHN NI VILAZA??,
FOR 2015[B said:;7149706]ISCO23; Hivyo ni vyuo vikongwe inawezekana Uzuri wake ukatokana na wataalam wa kudumu katika vyuo hivyo. SUA is very good in Agricultural Related Courses na ndizo zilizopo. Mzumbe ni Administrators, UDSM mchanganyiko.[/B]
Vyuo vingine vinaathiliwa na kutokuwa na Wahadhili Permanent, yaani unakuta Mhadhili anapigisha shule UDSM, then anaenda SAUT, akitoka hapo anaenda TEOFIL KISANJU,,,obvious watakaofaidi kwa sana ni wale wanafunzi wake PERSE.
Angalizo ni kwa hivi vyuo vingine kuhakikisha vinakuwa na Walimu wa Kudumu lakini ambao ni Competent
Tangu lini shule/vyuo vya serikali vikatoa elimu bora kuzidi private? Isco23 hauko sahihi ktk hili, kama unabisha check ufaulu wa shule za serikali vs private!
yani wale wenye ufaulu mzuri 4m6 ndo wanaenda sua,udsm,mzumbe
wale vilaza waliobahatisha ndo wanaenda saut,tumaini,st.john
na vyuo vingine vya private najua mtachukia
![]()
- :yield:
2013 twenzetu
Daaah uongo mwimngi hapa,,,kuna ndugu zangu wawili mwaka jana walienda udsm na ardhi na wote walikuwa na division 3,mmoja pcm mwingine egm,,,,sasa wa udsm yuko mechanical eng na wa ardhi yuko building economics,,na walikuwa vilaza tu,,na kuna mwuingine kapata ardhi this year ana 3 ya hgl,,,,,so msikeshe kwenye jukwaa kudanganyana
Nikiambiwa nichague vyuo bora kutokana na sifa toka kwa waajiri
1.D.I.T
2.SUA
3.alafu vingine vyote uvijuavyo,,udsm,muhas,bugando,tumaini,saut e.t.c
Watanzania kuzoea kubishana, hata hapa kwa wasomi hii ni hatari. La msingi termsheni list ya vyuo vikuu 10 bora Tanzania au EA toka kwa mashirika yanayofahamika duniani.
List ninayo na ningewateremshia lakini nataka nanyi mchemshe bongo kidogo.
acha ushamba wewe kama hujui ku updates status kaa kimya. . uckute we mwenyewe hujafika 4m5 ndo unawaonea wenzako gele
Hivi wakuu division three ya 13 nakuwa na cut off ya ngapi DDE
Hivi wakuu division three ya 13 nakuwa na cut off ya ngapi DDE
Hivi vitoto hivi ,bhana unatoa fact wewe nani? ,research umefanya wapi, tulieni nyie vitoto shukuruni mungu kuna vyuo vikuu vingi!,wengine mngeenda diploma