facts. SUA,UDSM,MZUMBE

Hivi vitoto hivi ,bhana unatoa fact wewe nani? ,research umefanya wapi, tulieni nyie vitoto shukuruni mungu kuna vyuo vikuu vingi!,wengine mngeenda diploma
 
 
Hivi vitoto hivi, mods anzisheni jukwaa la hivi vitoto
 

Hapo bold umenena vyema kabisa na ndio maana kozi ambazo mpya kwa hivyo vyuo unakuta hawapo vizuri ila zile ambazo zimekuwepo tangu enzi wanakuwa vizuri kwa kuwa tayari wana msingi mzuri tangu mwanzo maana siku hizi utasikia SUA wanatua kozi za social / development na ukiangalia vizuri unakuta hawapo vizuri kwenye eneo hilo kwa kuwa wameanzisha hizo kozi ili kwenda na wimbi la mabadiliko na kupanua wigo wa kutoa elimu
 
Tangu lini shule/vyuo vya serikali vikatoa elimu bora kuzidi private? Isco23 hauko sahihi ktk hili, kama unabisha check ufaulu wa shule za serikali vs private!

Ma T.O wanatokea wapi?? Private au government?? Na viongoz wengi je?? Si kwamba private hawatoi elim bora...ila usiseme vyuo au shule za serijali hazitoi elim bora
 
yani wale wenye ufaulu mzuri 4m6 ndo wanaenda sua,udsm,mzumbe
wale vilaza waliobahatisha ndo wanaenda saut,tumaini,st.john
na vyuo vingine vya private najua mtachukia

    • :yield:
      2013 twenzetu




wakuu msihangaike hiki kilaza nimekikuta jf doctor kinasema kimeathirika na kupiga punyeto!,so hayo ndio madhara yake
 

Watanzania kuzoea kubishana, hata hapa kwa wasomi hii ni hatari. La msingi termsheni list ya vyuo vikuu 10 bora Tanzania au EA toka kwa mashirika yanayofahamika duniani.

List ninayo na ningewateremshia lakini nataka nanyi mchemshe bongo kidogo.
 
Nikiambiwa nichague vyuo bora kutokana na sifa toka kwa waajiri
1.D.I.T
2.SUA
3.alafu vingine vyote uvijuavyo,,udsm,muhas,bugando,tumaini,saut e.t.c

nyangi sasi marwa wa tambaza hkl au nakufananisha?
 
Watanzania kuzoea kubishana, hata hapa kwa wasomi hii ni hatari. La msingi termsheni list ya vyuo vikuu 10 bora Tanzania au EA toka kwa mashirika yanayofahamika duniani.

List ninayo na ningewateremshia lakini nataka nanyi mchemshe bongo kidogo.

dondosha Mkuu
 
Last edited by a moderator:
acha ushamba wewe kama hujui ku updates status kaa kimya. . uckute we mwenyewe hujafika 4m5 ndo unawaonea wenzako gele
 
Ukishakula ukijaza hilo gunia na minyoo ikasimama dede unacheua ufyuzi wako unauleta huku jukwaani!! Leta mawaxo ynye maana na manufaa!!!
 
Hivi wakuu division three ya 13 nakuwa na cut off ya ngapi DDE
 
Hivi vitoto hivi ,bhana unatoa fact wewe nani? ,research umefanya wapi, tulieni nyie vitoto shukuruni mungu kuna vyuo vikuu vingi!,wengine mngeenda diploma

Upo mpigamsuli,mbona unawaponda sana,unakumbuka post zako za mwanzo mwanzo wakati unaingia javini,na wao wakikaa mda mrefu watabadilika tu
"Vox popoli vox dei"
 
Ujinga wako peleka facebook kwa watoto wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…