Pitso Mosimane 🇿🇦 is the 3RD COACH to win the CAF Champions League with two teams after winning it with Mamelodi Sundowns (2016) and Al Ahly SC (2020) all beating Zamalek SC in the final.
Kiungo wa zamani wa vilabu vya Fulham, Birmingham, Portsmouth, Westham na timu ya Taifa ya Senegal, Papa Bouba Diop amefariki akiwa na miaka 42 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
.
.
Diop, ambaye alipewa jina la utani " Wardrobe" kutokana na urefu wake wa futi 6 na inchi 5, alijiunga na Fulham mwaka 2004 na kuichezea kwa miaka mitatu akiwa London ya magharibi, kabla hajasaini Portsmouth.
.
.
Diop aliisaidia Portsmouth kushinda FA Cup chini ya kocha Harry Redknap mwaka 2008
.
.
Alikuwa pia kwenye sehemu ya kikosi cha Senegal alipofunga goli pekee kwenye hatua ya makundi dhidi ya France kwenye mashindano ya kombe la Dunia.
.
.
Vilabu vya Fulham, Birmingham, Portsmouth, Birmingham na Westham vimeeleza huzuni ya kuondokewa na kiungo huyo na kuomba apumzike kwa amani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.