Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #201
AmenUzi huu umenikosha na kunipa chakula cha ubongo katika medani za michezo huku ukichagizwa na taarifa zilizochakatwa kutoka vyanzo maridhawa. Hongera sana kwa mleta uzi huu na kazi iliyotukuka unayoendelea nayo hapa kutujuza mengi yaliyojiri duniani.
Joaquin anakipigia Real Betis akiwa bado ana ufundi wake licha ya umri mkubwa.
Pablo H mara ya mwisho nmemuona leeds akipambana kupanda daraja.
Ile valencia ya enzi za Villa,silva,Mata,Jordi alba, ilikua moto sana