Facts zilizotokea katika Viwanja mbalimbali vya michezo

Facts zilizotokea katika Viwanja mbalimbali vya michezo

97CFBAD1-4D48-44E8-BC21-D7046DA09122.jpeg
 
Gabriel Jesus amehusika kwenye magoli 9 katika mechi sita alizoanza katika ligi ya mabingwa barani Ulaya msimu huu.
Amefunga magoli 7 na kutoa assists 2 ingawa vyote hivyo alivifanya kwenye hatua ya makundi.
92C795D3-20FA-42C7-9110-CFE632F658A1.jpeg
 
Mendy 👉👈 Mendy

Ferland na Benjamin wote wameanza katika upande wa kushoto wa timu zao kwenye dimba la Santiago Bernabéu.
8B802E15-ED5D-464F-8CA8-C8B29B254E4C.jpeg
143DC0BA-1570-4F00-83FD-1555EC9CE0FD.jpeg
 
Ferland: ametoa pasi sahihi kwa 100% katika kipindi cha kwanza cha mchezo dhidi ya Man City. Aametoa pasi (30/30).

Benjamin; ameongoza kwa kufanya madhambi kwenye kipindi cha kwanza cha mchezo dhidi ya Real Madrid. Amecheza foul (4)
 
Sergio Ramos sasa anaongoza kwa kucheza mechi nyingi kwa wachezaji waliocheza ama wanaocheza Champions League msimu huu.

Mpaka sasa amecheza mechi 124 akivuka rekodi iliokuwa inashikiliwa na nyanda Gigi Buffon aliecheza mechi 123.
4214AB53-FF51-4FAB-9C31-AAE7F2453033.jpeg
 
Gabriel Jesus amekuwa mchezaji wa kwanza toka Premier League kufunga goli katika hatua ya mtoano ya ligi ya mabingwa ulaya msimu huu.
 
Kwa mara ya kwanza katika historia yake Kevin De Bruyne amepiga penati ndani ya dakika 90 za mchezo na kufunga...

Hii ni penati yake ya pili kupiga akiwa na Man City
 
Ni tiimu 3 tu toka nchini Uingereza zilizowahi kupata ushindi kwenye dimba la Bernabéu:

2006: Real 0-1 Arsenal
2009: Real 0-1 Liverpool
2020: Real 1-2 Man City

600E0AAD-23C9-4636-B5BF-CE43E8476714.jpeg
 
Katika mechi dhidi ya Lyon wazee wa Juventus waameshindwa kupiga shuti lililolenga goli.

🤣😅😅🤣
 
TBT la kibabe...
Anatoka Kaka anaingia Rui Costa.
Anatoka Lion anaingia Simba...

1A3ED544-7860-473B-A9CC-552B6E90DE80.jpeg
 
Mpaka sasa ni timu mbili tu zilizoshindwa kupiga shuti lililolenga lango la timu pinzani katika hatua ya mtoano wa ligi ya mabingwa ulaya msimu huu.

✘ Liverpool (8 shots)
✘ Juventus (14 shots)

FB898926-4A4B-47A8-AA3D-DB53036BC750.jpeg
B9ADA214-4346-412C-B244-3AAC4F3B83FD.jpeg
 
Thierry Henry Ndie mchezaji pekee katika historia ya Premier League kufunga magoli 20 na kutoa assists 20 ndani ya msimu mmoja.

❍ 2002/03 season
❍ 37 games
❍ 24 goals
❍ 20 assists

629B5279-3E19-4792-8C32-3CBF03E69E62.jpeg
 
Back
Top Bottom