Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #141
Robert Lewandowsky mpaka sasa amecheza dakika 630 katika ligi ya mabingwa msimu huu bila kufunga goli...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anthony Martial Mpaka sasa amefunga magoli 10 katika premier league ndani ya misimu miwili mfululizoView attachment 1367751
Siku kama ya leo mwaka 2006, Arsenal walipata ushindi maarufu zaidi wa goli 1-0 nyumbani kwa Reall Madrid katika hatua ya 16 bora.
Goli la Thierry Henry lilitosha kuivusha Arsenal katika hatua inayofuata
Alikua anaogopa Corona virusLionel Messi vs Napoli:
Goals - 0
Assists - 0
Shots on Target - 0
Dribbles Completed - 2(7)
Key Passes - 0
Chances Created - 0
Possession Lost - 15
Another big game in Champions League another failure from messi.