Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila soka ni mchezo wa wakiristo na ulibuniwa na wakiristo Sasa yule baba wa Mnyaz huko kwa ala anajisikiaje akiona wasilamu mnapenda soka hii inaniliza 😫😫😫😫😫😫Galam galam,
Katika thread hii tutapashana facts zilizo tokea katika viwanja mbalimbali vya michezo ama katika duru za michezo ulimwenguni.
Ruhsa kwa yeyote kuwasilisha takwimu ama habari ya mchezo aupendao.
Bismillah.