Facts zilizotokea katika Viwanja mbalimbali vya michezo

Facts zilizotokea katika Viwanja mbalimbali vya michezo

7D1347C9-BC21-4BA4-8A70-6AB7751CF932.jpeg
 
Liverpool 1-1 Westham
Magoli mawili hayo yamepishana sekunde 174
B932D888-DDD0-4DE6-8E93-93DA0B369781.jpeg
 
Liverpool have now conceded more Premier League goals this season (16) than Chelsea did during the entire 2004/05 campaign (15).

José's ridiculous record remains intact. 😅
 
Liverpool Wamefunga magoli 14 ya vichwa msimu huu wa Premier League.
Idadi kubwa zaidi ya timu nyingine katika ligi hio.
 
Liverpool wameruhusu kufungwa magoli mengi zaidi usiku huu dhidi ya Westham (2) .

Ikumbukwe katika mechi 11 zilizopita za Liverpool walifungwa goli (1) tu
 
Felipe Anderson completed more take-ons (5) than any other player during his time on the pitch.

A thorn in Liverpool's side. 🌵

1CECFFE6-CC27-4827-9BE1-6C34FCEE0BAE.jpeg
 
Alisson hii leo ameruhusu kufungwa magoli mengi katika mechi moja kwenye mashindano yoote alioidakia Liverpool msimu huu.
FBE29274-6263-4998-921E-5316636C7684.jpeg
 
Mohamed Salah amehusika kwenye magoli 8 katika mechi 6 alizokutana na Westham katika Premier League.

Amefunga magoli 6 na kutoa assists 2.
D18FE55B-6927-439E-A429-6C526885DB4A.jpeg
 
Everyone knows that you can’t spell Liverpool without an L. In fact, you need two...

Put those together, you get a W, and Jürgen Klopp’s side now have 18 of those in a row.
2893F584-6125-4F24-B47C-225A31235BE0.jpeg
 
Ila
Galam galam,

Katika thread hii tutapashana facts zilizo tokea katika viwanja mbalimbali vya michezo ama katika duru za michezo ulimwenguni.

Ruhsa kwa yeyote kuwasilisha takwimu ama habari ya mchezo aupendao.

Bismillah.
Ila soka ni mchezo wa wakiristo na ulibuniwa na wakiristo Sasa yule baba wa Mnyaz huko kwa ala anajisikiaje akiona wasilamu mnapenda soka hii inaniliza 😫😫😫😫😫😫
 
superbug mpira umeanzishwa na wachina wanaoabudu miungu hivo hakuna dini iliyoanzisha mpira kama usemavyo
 
Nketiah: "I try to give my all in training & treat it as a game. He [Arteta] likes this mentality & obviously the quality I have, I try to showcase that. It’s just about working hard, I’m grateful he’s given me the opportunity he has & I just want to keep learning" #Arsenal

0BFDEFE1-22F6-4B94-B26D-A8CD8D996E5F.jpeg
 
#Arsenal are willing to pay Thomas Partey's €50m release clause & will attempt to complete a deal for him in the summer.

F3BFA9CD-5431-4A2E-9C6F-A911C3BA210F.jpeg
 
Liverpool wanahitaji alama 12 ili kuwezaa kunyanyua kwapa na kubeba ubingwa wa Premier League 🏆

Mechi 4 zijazo za Liverpool watakwana na
🆚 Watford (A)
🆚 Bournemouth (H)
🆚 Everton (A)
🆚 Crystal Palace (H)

je ataweza kupata alama hizo?
 
Thiago completed 95% of his passes in the first half against Chelsea, 92% of his passes in the opposition half and made more recoveries (10) than any other player.

4E770B48-DD04-4569-B541-7636142C70E2.jpeg
 
Dries Mertens hii leo ameungana na Marek Hamsik kuwa wafunga bora wa muda wote wa klabu ya SSC Napoli.
Mertens amefikisha idadi ya magoli 121 ambayo ndio aliiacha Hamsik.
19DAFC4E-2FE2-484C-9AC8-887342504B9A.jpeg
 
Back
Top Bottom